Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli?

ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana

naanza kukubali

Tuache ujinga tufanye kazi huu utoto na ujinga tusiurudie kama siasa tufanye za mazungumzo
 
Waandamanaji walikuchomea masulupwenye yako mbona una hasira nao sana
 
Tuache ujinga tufanye kazi huu utoto na ujinga tusiurudie kama siasa tufanye za mazungumzo
Mbona siasa za mazungumzo zilishashindwa tokea enzi za Lyatonga, au sasa hivi kwa vile madhara yameshatokea sasa wanaweza kuketi mezani na kuzungumza kwa amani.
 
Back
Top Bottom