Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Maandishi marefu unamsifia mwanamke aje hapa kiduni tuone uanaharakati wake,sasa mange kwanza chadema baadae!

Mkuu huyo huyo unaesema mwanamke kuna watu wanafanya sherehe saa hizi kwa kudai wamemshinda, mheshimiwa mkuu wa wakuu wa mikoa Tanzania akiwa ma limutuz na Jery muro wanatumbua kodi zetu.

Huoni kama mange ana nguvu sana mpaka watu kuandaa sherehe kwa ajili ya kujipongeza kwa kuzima maandamano??
 
Watakwambia wewe mchochezi
nimechochea nini? MangeKimambi kaongeza expenditure kwenye bajeti ya wizara ya ulinzi Na wizara ya Mambo ya ndani Na pia idara ya usalama wa Taifa. Watu wamekula posho za kutosha sababu ya kitoto cha kike chenye kigugumizi.
Hata Fid Q Leo hakupanda open roof kwa kumuogopa mlimbwende
 
Hapo sweden huyo balozi anatakiwa anakili hayo mabango yanasemaje,
huo sio muda wa maongezi ya mdomo aongee na mabango ya waandamanaji.
Atayaonaje hali anawasubiri ofisini kwake. Wasaidizi wake wamemwambia waandamanaji wenyewe wamefunika sura kuficha aibu yao.
 
wewe reasoning yako iko wapi??...kula hadi rambi rambi eti kutengeneza miundo mbinu wakati hujui trillion zimefutika na nani,hio ni reasoning au umejaza matope kichwani?
Akili yako inadhani kuiba 1.5 trillioni ni kama kuchota maharage upike, ok ongeza sauti wakusikie unaodhani watakusaidia.
 
Hakika huyo dada ni wa kipekee na si wa kubeza..ana character ya aina yake!

Kwel kabisa yan ingekuwa mimi siwezi kuhandle betrayal kabisa.
R.I.P maandamano, poleni sana team da mange
 
Akili yako inadhani kuiba 1.5 trillioni ni kama kuchota maharage upike, ok ongeza sauti wakusikie unaodhani watakusaidia.

nachojua watu kama dentist,lawyers nk wanaweza kukuibia hata usijue,sasa wewe endelea kuwasupport serikali zulmat,mie nitaendelea kumsupport Mange,tafadhali usi cross njia yangu,na sita cross kwako?done with you.lol
 
Pole kwa kufikiri kwa kutumia mtak00 badala ya kichwa
 
Malaya huyo ana nini cha kujivunia?? Yaani mleta maada ni kibinyio na unapumuliwa. Yaani maandamano mmeshindwa halafu eti mnajisifia, kweli mmekwisha
Haha naona kisu cha mange kimegonga mfupa mnatokwa mapovu kwa uchungu.
 
Atayaonaje hali anawasubiri ofisini kwake. Wasaidizi wake wamemwambia waandamanaji wenyewe wamefunika sura kuficha aibu yao.
Atoke hapo nje ya ofisi yake wahusika wamesimama na mabango ayasome.

Amuige rose migiro yeye amepiga picha hayo mabango amemtumia boss wake apate ujumbe wake.
 
Mungu mbariki Mange Kimambi , walidhani ni maandamano ya kishamba ya kutoka Manzese kwenda Posta , kumbe wamebugi ! poor ccm !!!
 
Atoke hapo nje ya ofisi yake wahusika wamesimama na mabango ayasome.

Amuige rose migiro yeye amepiga picha hayo mabango amemtumia boss wake apate ujumbe wake.
Wenzio walikuwa Samora avenue pale Leo we sijakuona ulijificha wapi?
 
nachojua watu kama dentist,lawyers nk wanaweza kukuibia hata usijue,sasa wewe endelea kuwasupport serikali zulmat,mie nitaendelea kumsupport Mange,tafadhali usi cross njia yangu,na sita cross kwako?done with you.lol
Weka juhudi kumsapoti..na hayo mengine anayofanya msapoti..alianzia dubai wewe unaweza anzia hata hapa.
 
Kamtisha babaenu we unaongea Nn...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…