Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Amepanda mbegu ipo siku inaota aisee
Nimeona Polisi wakitia huruma hadi basi
 
Haha naona kisu cha mange kimegonga mfupa mnatokwa mapovu kwa uchungu.
Wewe ndiyo kimegonga nyonga. Maana leo hakuna mbwa wala paka yeyote aliyetoka. Na mgetoka tuwaone nyie mnaojifanya mnataka vita Tz. Yaani leo ndiyo mgetambua kondoo kwa kiigereza anaitwa ship.
 
Hahahaha kweli GTs JF imevamiwa. Hivi wewe una akili kweli??? Je kichwani mwako umejaza ubongo au ninihiii?? Nadhani wengi wenu mtakuwa na upungufu wa akili, na ndiyo maana wakati mwingine kuwajibu inakuwa ni kupoteza muda.
 
Hahahahahahaaaa, yaani kwa sasa ukiwa mpinzani unatakiwa upimwe akili. Sasa huyu anayeshabikiwa kuwa mwiba ana umwiba gani?? Ameshindwa na maandamano yake yameshindwa wamebakia wehu wachache wanaotafuta sababu za kumsifia huyu psycho aliyeshindwa kuishi hata na familia yake mwenyewe..
 
Hahahaha kweli GTs JF imevamiwa. Hivi wewe una akili kweli??? Je kichwani mwako umejaza ubongo au ninihiii?? Nadhani wengi wenu mtakuwa na upungufu wa akili, na ndiyo maana wakati mwingine kuwajibu inakuwa ni kupoteza muda.
Kabinti kamewaingiza ubaridi hadi masikini hadi mama samia wa watu anatoka kwenye vikao vya saa tisa usiku
 
Polisi hawaajiri ili wakae..walichofanya polisi leo ndio kazi yao ya kila siku..msifie kuwa shujaa wa kutukana labda.
mbona haiwakamati wasiojulikana sasa kama ni kazi yao? kwani hawana kambi za kufanyia hayo mazoezi?
 
Atakam akuna alieandamana ila kama kushika mange alishika nyeti zote sio police sio viongoz wa police nikukimbia kama vichaa kubeba smg nzito kuchezea mafuta ya serikali kushinda njaaa jua Lao mvua yao [emoji1][emoji16]ipo siku isiyo na jina poleni sn ila sio mbay mmepata kaposho,,,, nawakumbuk nao wanashida kam wengine tuu
 
Kabinti kamewaingiza ubaridi hadi masikini hadi mama samia wa watu anatoka kwenye vikao vya saa tisa usiku
Kwani haijulikani nyie mnatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu??? Na ndiyo maana lazima serikali ijiandae kuhakikisha yeyote anayetaka kuvuruga amani yetu anakufa na kutekekea kabisa ili nchi isonge mbele na wapenda amani na maendeleo. Hata huko US aliko huyo malaya wenu waliwaua wasaliti wote mpaka kuja kuwa na kizazi cha wazalendo.
 
Kafanikiwa kwa 100% hata mkuu mwenyewe anajua, viva Mange
 
Well said
 
Mbwembwe zoote Leo mlijificha nyuma ya mapazia!tunajua chama cha demokrasia ya matusi ndo kiliratibu maandamano ....nikuulize...mwenyekiti amesharudi toka Marekani!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Safiii
 
Mbwembwe zoote Leo mlijificha nyuma ya mapazia!tunajua chama cha demokrasia ya matusi ndo kiliratibu maandamano ....nikuulize...mwenyekiti amesharudi toka Marekani!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti CHAMA CHA DEMOKRASIA CHA MATUSI!
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi uwiii
 
unaniudhi,lol makamanda wanaudhi nao,Mange alipigana mpaka Lissu akapata hela ya matibabu lakini Mange alivyoitisha maandamano wakamkana hawakumpa support,hii nayo ilifanya maandamano kukosa momentum
Nchi hii ingekuwa inaongozwa ktk misingi ya utawala wa sheria leo watu wangefurika barabarani
 
hongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Kwanini hamku muunga mkono kwenye maandamano,badala yake mmebaki kumsifia tu humu kwenye mitandao.
 
Silaa anayotumia mange kimambi ni slaa Kali zaidi kuliko bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…