Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

hongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Yaani huyu Dada hapana ni shujaa acha wamponde hao wasiojielewa
 
Malaya huyo ana nini cha kujivunia?? Yaani mleta maada ni kibinyio na unapumuliwa. Yaani maandamano mmeshindwa halafu eti mnajisifia, kweli mmekwisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] poleeee
 
Yule ni mbwa na malaya kuhamasisha raia waichafue nchi
Alaaniwe yeye mshamba sana yule malaya
 
Kuhamasisha watu wafanye vurugu namalaya asiye na kitu ni ujinga alaniwe malaya yule amani yetu ni bora kuliko huo upuuzi
 
Hebu tumia id yako halisi tukujue kama tunavyomjua mange
 
What i realized all fake names here some are agents. Mytake just relax no matter what it is atleast the lady has tried to show up how tanzanian are get bored with their gvt. https://jamii.app/JFUserGuide yu
 
unaniudhi,lol makamanda wanaudhi nao,Mange alipigana mpaka Lissu akapata hela ya matibabu lakini Mange alivyoitisha maandamano wakamkana hawakumpa support,hii nayo ilifanya maandamano kukosa momentum
Nchi ngumu hii dada yangu. Tafuta mkate wako Na watoto wako. Mengine achana nayo
 
ni boro ingepigwa punyeto kuliko kuzaa kiumbe asiejitambua kama wewe!
 
Mange ameonyesha ni jinsi gani serikali ya tanzania ilivyojawa uoga na ya kipumbavuu.

Kudos to Mange
 
Msimpe Mange ujiko usio na ulazima, yeye anajuwa watanzania wengi ni mazoba na ndiyo maana alitumia njia hiyo (maandamano ya mtandao) kuwalostisha ila bahati mbaya serikali ilimuonyesha kuwa japo watu wake ni mazezeta ila iko tayari kuwaokoa na ndicho ilichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…