Kajitia jambajamba mwenyewe. mimi nawashangaa wananyumbu hivi kweli kama alikuwa anampango wa maandamano kwanini apige tarumbeta nyuma ya keyboad? angepanga mipango kimyakimya watanzania tukashitukia wito wa masaa mawili tuu ya maandamano. Then kwann apange kipindi anachojua fika ni siku maalum ambayo majeshi yetu ya ulinzi na usalama yapo kwenye maandalizi ya muungano? alafu anakuja na slogan eti majeshi yapo maandalizi ya kupambana na maandamano. Huu ni ujinga wa hali ya juu ambao hauitaji elimu ya chuo kikuu ili kubaini na kujua kalenda ya matukio ya kitaifa, shenzi kabisa wote mmnao mfagilia mwanamke eti damange kasema duuh kweli mwezi umeandama msimu wa kuvuka mto umefika