Wewe chukua nafasi yake na uhamasishe ukiwa hapa. Ukishafanya hivyo yeye atarudi na kuwa follower wako! Kama huwezi, basi nyamaza!Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo vya kimataifa na wanasheria wa kukutetea pamoja na media kubwa kubwa ili hata ukikamatwa utendewe haki , kama alivyofanya Tundu Lisu 2020 yule kweli alikuwa jasiri, kwa risasi zile na kurudi kugombea alikuwa jasiri.
2. Mange Kimambi unahamasisha sana mbona huji kutuuunga mkono jiiite mwanaharakati uje na passport yako ya Marekani ili ikuteteee, na US embassy wanakuwekea ulinzi kwanini huji unatuma tu watoto wa wenzio? kweli nimejiuliza sana.
3. SABABAU KUUU NI NINI SABABU YA MAANDAMANO NA KWA NINI 29/10/2025?
Ki ukweli sababu za Mange sizielewi na huwa simwelewi maana alikuwa anamsumbua sana Magufuli yaani yeye hana kiongozi mwema kwake sasa shida yake nini? Hoja kama ni UFISADI SAWA AU KAMA HOJA NI WATU KUTEKWA HAPO SAWA LAKINI JE GROUND ZA KUHAMASISHA NDIO HIZO?
Mwisho uzoefu unajulikana ndani ya maandaano kuna fujo sisi sio wazoefu wa maandamamno ya amani je vyombo vyetu kweli ni dhaifu hivyo waruhusu wachochezi waichome nchi yao tena wachochezi wapo nje sio ndani?
Mimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Kesho narudi na hoja rasmi tarehe 29/1 0 tutoke au? lakini sioni haja mpaka sasahivi naona ni uchochezi tu
umenijibu kwa matusi lakini hujajibu hoja zangu, shijaa awe kama Luther martin, au yule dada wa sudan enzi za Omar bashir, sasa yeye anakaaa nairobi anakuambia wewe toka tu toka usiwe na wasiwasi jikaze mbona haji kuwa ring leader wetu, maandamano ya Arusha 2010 nilikuwepo mbele alikuwepo askofu yule marehemu wa kkkt Arusha, mbowe , dr slaaa, ndesamburo na viongozi kama 300 ili make sense , na baadae ikageuka vurugu kituo cha polisi kikatakwa kuchomwa moto ndo watu 5 wakauawa , hawa wa sasahivi kwa nini wao wakae mbali? tujiongezeni na sisi tusiwe mazwazwa walionogewa togwa,Unavimaswali vyak_isen_ge sana mshkaji ,au unagongwa nini?
Polepole waliyemshika yuko wapi?
Mdude waliyemshika yuko wapi?
Soka yuko wapi?
Aliyekwambaia siku hizi wakishakuteka wanaenda na wewe mahakamani ni nani?
Unapataje hasara kwa yeye kutokwenda kumzika Baba yake?
Kama wewe hujafanikiwa kuiona thamani ya majukumu anayoyatekeleza wewe unapataje hasara?
UONGO, UONGO, UONGOMimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini
Maria Sarungi anajua kabisa wakati baba yake waziri wa ulinzi mzee wangu na wake walikuw wanakutana sana na tunajuana japo mkubwa kidogo kwangu, kakulia maisha ya kawaida baba yake hakuwa mwizi bora wengine wazeee wetu walikuwa wanajua kutumia fursa kidogo, Point ni kwamba angetakiwa awe na sisi sio atuchocheee yeye akae mbali aje tulie naye turuke naye jtano singeli, mimi natoa landcruiser kabisa Number D LC 200 impeleke kokote hata akitaka na nissan patrol nampa lakini awe na sisi asituchezeshe mziki na remote huku anatungongaUkiona hivyo bwana ndoto ujue yapo nje sana ya ufahamu wako, fanya unayoyaweza achana na mambo ya watu wenye caliber kubwa, dunia kubwa hii kuna mengi ya kufanya we chagua yako tu!
Hawajasoma kwa kukaririshwa hawa wadada na hawakua na shida kwenye makuzi so kama ulipata utapiamlo wakati unakua wenzio walipata nutrition za kutosha, huwezi kuwaelewa kama unavyomwaga uharo hapa.
Kashibe unapopeleka mboga, unaweza kumsifia angela kiziga na familia yake, abduli, rizimoko, na maaccount yao ya madola, na magari, na majumba nk bado utakua umeongeza posts tu JF
hapana mimi kwenye biashara binafsi miaka 12 sasa ndugu ila nawaonea huruma vijana watakopambana na kupotea pande zote yaani polisi na raia wakati wachezeshaji hawapo , mimi nilidhani itumike njia nyingine ya kudai haki hasa hasa hii ya watu kupoteaUzi wa mlamba asali.
sawa alhamisi utanikumbuka na utakumbuka kauli yangu baada ya mtiti wa jtanoWewe na mavi bora mavi
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya...
- Mshana Jr
- Replies: 2,231
- Forum: Jamii Intelligence
Hao wametimiza wajibu wao, ni zamu yako timiza wajibu wako ,hakuna sababu ya kuwashambulia mkuuHi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo vya kimataifa na wanasheria wa kukutetea pamoja na media kubwa kubwa ili hata ukikamatwa utendewe haki , kama alivyofanya Tundu Lisu 2020 yule kweli alikuwa jasiri, kwa risasi zile na kurudi kugombea alikuwa jasiri.
2. Mange Kimambi unahamasisha sana mbona huji kutuuunga mkono jiiite mwanaharakati uje na passport yako ya Marekani ili ikuteteee, na US embassy wanakuwekea ulinzi kwanini huji unatuma tu watoto wa wenzio? kweli nimejiuliza sana.
3. SABABAU KUUU NI NINI SABABU YA MAANDAMANO NA KWA NINI 29/10/2025?
Ki ukweli sababu za Mange sizielewi na huwa simwelewi maana alikuwa anamsumbua sana Magufuli yaani yeye hana kiongozi mwema kwake sasa shida yake nini? Hoja kama ni UFISADI SAWA AU KAMA HOJA NI WATU KUTEKWA HAPO SAWA LAKINI JE GROUND ZA KUHAMASISHA NDIO HIZO?
Mwisho uzoefu unajulikana ndani ya maandaano kuna fujo sisi sio wazoefu wa maandamamno ya amani je vyombo vyetu kweli ni dhaifu hivyo waruhusu wachochezi waichome nchi yao tena wachochezi wapo nje sio ndani?
Mimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Kesho narudi na hoja rasmi tarehe 29/1 0 tutoke au? lakini sioni haja mpaka sasahivi naona ni uchochezi tu
Acha usenge basi. Wote wanaosemea upumbuvu wa serikali wakiwa nchini mnawateka na kuwaua. Hatudanganyiki ng’o. Pumbavu zenu na hoja zenu mfuHi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo vya kimataifa na wanasheria wa kukutetea pamoja na media kubwa kubwa ili hata ukikamatwa utendewe haki , kama alivyofanya Tundu Lisu 2020 yule kweli alikuwa jasiri, kwa risasi zile na kurudi kugombea alikuwa jasiri.
2. Mange Kimambi unahamasisha sana mbona huji kutuuunga mkono jiiite mwanaharakati uje na passport yako ya Marekani ili ikuteteee, na US embassy wanakuwekea ulinzi kwanini huji unatuma tu watoto wa wenzio? kweli nimejiuliza sana.
3. SABABAU KUUU NI NINI SABABU YA MAANDAMANO NA KWA NINI 29/10/2025?
Ki ukweli sababu za Mange sizielewi na huwa simwelewi maana alikuwa anamsumbua sana Magufuli yaani yeye hana kiongozi mwema kwake sasa shida yake nini? Hoja kama ni UFISADI SAWA AU KAMA HOJA NI WATU KUTEKWA HAPO SAWA LAKINI JE GROUND ZA KUHAMASISHA NDIO HIZO?
Mwisho uzoefu unajulikana ndani ya maandaano kuna fujo sisi sio wazoefu wa maandamamno ya amani je vyombo vyetu kweli ni dhaifu hivyo waruhusu wachochezi waichome nchi yao tena wachochezi wapo nje sio ndani?
Mimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Kesho narudi na hoja rasmi tarehe 29/1 0 tutoke au? lakini sioni haja mpaka sasahivi naona ni uchochezi tu
Acheni ndoto za mchana, hakuna maandamano 29/10. Watanzania wa namna hiyo hawapoKwani hao top leaders wanaokuambia 29/10 hakutakuwa na maandamano, unahisi watakuwa frontline na maaskari kuyazuia hayo maandamano?
Au na wao pia ni waoga watakuwa home katika maximum security huku jicho moja barabarani kuangalia hali ya maandamano na jicho jingine kuangalia siti ya ndege atayokaa kwa ajili ya kutoroka iwapo mambo ya huko barabarani yatakuwa magumu?
Kama ambavyo unaona wanaharakati ni waoga ndivyo ambavyo nao viongozi wako watakuwa waoga kwasababu hawawezi kukaa mbele kuzuia waandamanaji kwa hofu ile ile ambayo wewe umeiona kwa wanaharakati.
So, what's your point homie?