GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yawezekana mimi nina njaa lakini wewe hauko sawa kichwani. JF inaamini katika uhuru wa mawazo, wewe hautaki mimi niandike ninavyo jisikia?

Sasa wewe Mdaiwa unatofauti gani na akina Mafwele ambao tunawalaani kwa utekaji wa vijana wanaotoa maoni yao.

Hivi kweli JF litakuwa ni Jukwa la namna gani kama wote tutakuwa na msimamo mmoja?
Unaongea vitu viwili tofauti ambavyo havina uhusiano kabisa. As a matter of fact your analogy is out of context. Wewe unashabikia na kuipropagate serikali ambayo imeufungia the very same platform. The very same platform ambayo haitakiwi na serikali wewe unaitumia kuisifu serikali. Buddy are you normal upstairs?
 
Respect my freedom of expression that is my fundamental constitutional right. The more you brag on this the more you show that you are a twat
 
Respect my freedom of expression that is my fundamental constitutional right. The more you brag on this the more you show that you are a twat
You are simply an asshole. You can not have both. Your government and JF are rivals. You cannot use a rival platform against itself.
 
Shirikisha akili yako kijana. Hao military support kutoka Uganda umewaona?? Au unaokoteza tu habari za mitandao ya jamii?

Wamefikia wapi? Wanaishi kambi gani? Watafanyaje kazi na wanajeshi wetu? Watachukua amri kutoka kwa nani?
Ulitaka mamlaka zithibitishe ili kuonesha ukweli wa hii taarifa?

Hell No, huwezi kuwapuuza whistleblowers
 
You are simply an asshole. You can not have both. Your government and JF are rivals. You cannot use a rival platform against itself.
Kwa aina na lugha ya uandishi wako ni ka jamaaa huwezi kushiriki maandamano, huna hoja zaidi ya matusi , unajazika upepo na mange unakuja kutolea hasira yako huku siku hiyo utakuwa kwenye kibando cha azam unamalizia series , ahaa ahaaa watu wa action utawajua na waliopo nje wanaoshinda kutupigisha mastory ya uongo tunawajua tu kwa miandiko,
 
Wewe jindangaje tu. Your time is up. We are taking back our country from you hooligans. Let us meet on 29 October.
 
hapana mimi kwenye biashara binafsi miaka 12 sasa ndugu ila nawaonea huruma vijana watakopambana na kupotea pande zote yaani polisi na raia wakati wachezeshaji hawapo , mimi nilidhani itumike njia nyingine ya kudai haki hasa hasa hii ya watu kupotea
Wewe ni mpuuzi na endelea kusapoti lile shetani chinjachinja Samia maana ndio moyo wako ulipo, na huo ushauri mpelekee Samia aache kuua watanzania
 
Attacking activists outside Tanzania for not joining demonstrations is a failed CCM propaganda,

Sikilizeni mawazo ya watu ili muweze kutatua mahitaji yao,

Hawa watu kwasasa ni vichaa, muda wowote wanakiamsha na hawataogopa chochote, watakachokuwa wakizingatia ni kuwa bora zaidi ya walivyokuja awali.

Hawaogopi kufa, and they have that very Christian nature of self sacrifice...
 
Back
Top Bottom