Hoja ni Mange kuja kuandamana au hoja ni kile tunachokipigania tuandamane? Mbona unakuwa mjinga hivi? Tunaandamana kwa faida yetu SIO KWA FAIDA YA MANGE. Nimekuandikia kwa herufi kubwa labda utelewa pamoja na upumbavu wako.umenijibu kwa matusi lakini hujajibu hoja zangu, shijaa awe kama Luther martin, au yule dada wa sudan enzi za Omar bashir, sasa yeye anakaaa nairobi anakuambia wewe toka tu toka usiwe na wasiwasi jikaze mbona haji kuwa ring leader wetu, maandamano ya Arusha 2010 nilikuwepo mbele alikuwepo askofu yule marehemu wa kkkt Arusha, mbowe , dr slaaa, ndesamburo na viongozi kama 300 ili make sense , na baadae ikageuka vurugu kituo cha polisi kikatakwa kuchomwa moto ndo watu 5 wakauawa , hawa wa sasahivi kwa nini wao wakae mbali? tujiongezeni na sisi tusiwe mazwazwa walionogewa togwa,
Kuna malalamiko mengi sana ya kutekwa bora hata tungeandamana kumdai Polepole wetu na Mdude, kwangu mimi tena akina Soka na wenzake hao nitajitokeza kuongezea nguvu , mdude kuna kauli alishawahi kuzitoa niliandika humu humu kuwa tuna kupinga , kukemea lakini kuna lugha za hekima kutumika,
Mwabukusi alivyonzisha kupinga kuuzwa bandari nilitoka na kugha yake ni kali lakini ya staha , Ya mdude mimi ningekuwa Amiri jeshi ningemweka ndani miaka 30 , ili athibitishe kuwa yeye huwa anawanyoaga marais kama aliyetangulia
Wewe chawa mbona serikali yako imekataza kutumia JF lakini bado unaingia kwa VPN? Kwa nini hujawa mtiifu kwa serikali yako dhalimu?Acheni ndoto za mchana, hakuna maandamano 29/10. Watanzania wa namna hiyo hawapo
Kunywa maji baridi yatukusaidia kutuliza munkariWewe chawa mbona serikali yako imekataza kutumia JF lakini bado unaingia kwa VPN? Kwa nini hujawa mtiifu kwa serikali yako dhalimu?
Nakuuliza kwa nini hujawa mtiifu kwa serikali yako dhalimu? Serikali yako imeipiga marufuku JF lakini unaizunguka kwa VPN unaingia. Halafu ulivyo mpumbavu bado unatumia jukwaa hilihili kuisifiwa serikali. Hawa Moderator nao sijui wakoje. Mijitu kama ninyi mlitakiwa mfurumushwe kabisa humuKunywa maji baridi yatukusaidia kutuliza munkari
Tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto tuHi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo vya kimataifa na wanasheria wa kukutetea pamoja na media kubwa kubwa ili hata ukikamatwa utendewe haki , kama alivyofanya Tundu Lisu 2020 yule kweli alikuwa jasiri, kwa risasi zile na kurudi kugombea alikuwa jasiri.
2. Mange Kimambi unahamasisha sana mbona huji kutuuunga mkono jiiite mwanaharakati uje na passport yako ya Marekani ili ikuteteee, na US embassy wanakuwekea ulinzi kwanini huji unatuma tu watoto wa wenzio? kweli nimejiuliza sana.
3. SABABAU KUUU NI NINI SABABU YA MAANDAMANO NA KWA NINI 29/10/2025?
Ki ukweli sababu za Mange sizielewi na huwa simwelewi maana alikuwa anamsumbua sana Magufuli yaani yeye hana kiongozi mwema kwake sasa shida yake nini? Hoja kama ni UFISADI SAWA AU KAMA HOJA NI WATU KUTEKWA HAPO SAWA LAKINI JE GROUND ZA KUHAMASISHA NDIO HIZO?
Mwisho uzoefu unajulikana ndani ya maandaano kuna fujo sisi sio wazoefu wa maandamamno ya amani je vyombo vyetu kweli ni dhaifu hivyo waruhusu wachochezi waichome nchi yao tena wachochezi wapo nje sio ndani?
Mimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Kesho narudi na hoja rasmi tarehe 29/1 0 tutoke au? lakini sioni haja mpaka sasahivi naona ni uchochezi tu
Tunaandamana kwa faida yetu si kwa faida ya Mange. Mbona nyie viazi mnajizima data? After all wanaopaza sauti wakiwa nchini mnawateka na kuwaua, kwa hiyo mnataka Mange aje ili mumteke pia? Hizo propaganda mfu zinashabuma kitamboMangekimambi kashindwa kujitokeza hata kwenye maandamano yaliyopangwa yafanyike marekani juzi wakajitokeza wa Tz 7 tu yeye akajificha mbali akawa anachungulia kama nyumbu na kule hamna hata bom la machozi, ndo huyo anataka watu wamsikilize huku anawaambia msiogope kifo
Usiumize fuvu lako bila sababu, just niweke kwenye IGNORE listNakuuliza kwa nini hujawa mtiifu kwa serikali yako dhalimu? Serikali yako imeipiga marufuku JF lakini unaizunguka kwa VPN unaingia. Halafu ulivyo mpumbavu bado unatumia jukwaa hilihili kuisifiwa serikali. Hawa Moderator nao sijui wakoje. Mijitu kama ninyi mlitakiwa mfurumushwe kabisa humu
Wewe chawa wa mama kwa nini unaingia JF wakati serikali imekataza?Usiumize fuvu lako bila sababu, just niweke kwenye IGNORE list
Na wewe kunguni wa Lissu kwanini unaingia JF wakati Serikali imekataza?Wewe chawa wa mama kwa nini unaingia JF wakati serikali imekataza?
Ni kwamba huna akili au unazo ila njaa ndio tatizo? Swali gani la kipumbavu kama hilo unauliza? Okay, ni hivi obviously sisi tunaoona kuwa hii ni serikali ya kidhalimu na imeifungia JF kwa sababu ya kutaka kuficha udhalimu wake inaowafanyia wananchi tupo pamoja na JF. Sasa wewe ambaye upo pamoja na hii serikali dhalimu unaingiaje humu JF wakati serikali yako imeifungia JF?Na wewe kunguni wa Lissu kwanini unaingia JF wakati Serikali imekataza?
Hakuna kiongozi wa maandamanoMimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Wanaozunguka mtaani kupiga gwaride kwa lengo la kutisha raia sio wajinga.Acheni ndoto za mchana, hakuna maandamano 29/10. Watanzania wa namna hiyo hawapo
Yawezekana mimi nina njaa lakini wewe hauko sawa kichwani. JF inaamini katika uhuru wa mawazo, wewe hautaki mimi niandike ninavyo jisikia?Ni kwamba huna akili au unazo ila njaa ndio tatizo? Swali gani la kipumbavu kama hilo unauliza? Okay, ni hivi obviously sisi tunaoona kuwa hii ni serikali ya kidhalimu na imeifungia JF kwa sababu ya kutaka kuficha udhalimu wake inaowafanyia wananchi tupo pamoja na JF. Sasa wewe ambaye upo pamoja na hii serikali dhalimu unaingiaje humu JF wakati serikali yako imeifungia JF?
Shirikisha akili yako kijana. Hao military support kutoka Uganda umewaona?? Au unaokoteza tu habari za mitandao ya jamii?Wanaozunguka mtaani kupiga gwaride kwa lengo la kutisha raia sio wajinga.
Inawezekana wewe unaona hivi kwasababu sio muhanga, haupo kwenye hatari yeyote.
Lakini kama Mkuu wa nchi kafikia maamuzi ya kuomba military support kutoka UG ni dhahiri hili swala lipo serious na sio mzaha kama wewe unavyoona.