Mange Kimambi na Maria Sarungi wamehusika kuhujumu maandamano

Nyambafu wewe. Usilinganishe Raila Odinga na watu wa kijinga jinga.Bila Raila Odinga ,Moi angefia madarakani.Bila Raila Odinga Kenya wasingepata katiba mpya.Raila yote haya aliyapambania akiwa hapo hapo Kenya.Maria na Mange hawana hizo guts.
 
Acha mapepe Kuna ishu nyingi za kuandika unaleta uchawa kwenye mustakbali wa Wananchi pimbi wewe
 
Huu ndio ujinga wa wengi kujiona wao bora kwa mawazo yao. Ni upuuzi kama ambavyo yanaheshimiwa yako heshimu ya wengine .

Hii inaonesha jinsi gani maandamnao hayo yemejengwa kwa chuki bila ufahamu na sio mabadiliko kama inavyohubiriwa...

TUNAOMBA JIBU NINI MWISHO WA MAANDAMANO HAYO KAMA YATAFANIKIWA???
 
 
Nikishamuona mwanaume anakuwa na maneno mengi sana

SI ajabu ndo maana ulimpongeza Rostam baada ya kubwabwaja Azam

Huwa inakuwa ngumu kumuamini
Mwanaume wa kweli anakuwa na point chache na vitendo zaidi

Hizi swagwa waachie wadada zetu ndo wamejaliwa hayo
 
Watu dhaifu siku zote hawaeleweki , ndio ninachokiona kwa mtibeli. Jamaa anadhihirisha udhaifu wake.
 
wewe ni muoga. Ndio maana unawazia mwisho zaidi kuliko mwanzo
 
Siku wananchi wakijua wao ndo wanamalaka ya mwisho na nchi yao sio wao ndo kila kitu basi ndo ukombozi wa kweli utapatikana wananchi hawajitambui wanaona maandamano kama ya watu flani sio kwa ajili yao wote
 
Nakereka sana hawa watu wanaojifanya wachambuzi wa maandamano wakati wao hawana cha kuonyesha.

Hapa ishu ni ndogo tu, wewe sema kama utatiki au utatoka ijulikane upo uoande gani. Kama utatoka na unaona hakuna organization nzuri ya maandamano basi ingie field wewe mwenyewe ufanye organization.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…