Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC


Na Samia apelekwe wapi! Samia ndiyo kauwa watu na election fake
 
Hivi ni kweli mlitumia mamluki wa Uganda kuua Watanzania, siamini hizo taarifa, haziningii akilini kwamba mlijishusha kiasi hicho hadi kuleta wageni kumwaga damu ya vijana wenu, naomba ziwe taarifa za uwongo aisei.
Please, don’t overrate the brainpower of Samia and her squad, amini they were behind it, hawa watu wana decision za kuku
 
Hivi ni kweli mlitumia mamluki wa Uganda kuua Watanzania, siamini hizo taarifa, haziningii akilini kwamba mlijishusha kiasi hicho hadi kuleta wageni kumwaga damu ya vijana wenu, naomba ziwe taarifa za uwongo aisei.
Ni kweli yaliingia majambazi ya uganda
 
Uongozi wa jamii forum inabidi wahakikishe kila mtu mwenye account anaweka adress yake. Watu kama hawa wangekuwa wanasalimiwa.
 
Huyo changudoa mnaenda kuandama huyo shetwani ameolewa na akaingia huko US na huyo mume kakimbia.
Tunatuma CIE ajue hajui.
Mtakutana nae kipawa
Ana miaka 7 tu hapo US na hajui chochote
Kangangana na watoto tu,ni mtupu kichwani
Ni maajabu mwanaume kutamani kuolewa, nini shida mkuu hadi nawewe unagombea mume ?
 
Niliwaona wakiwapiga risasi wananchi.
 
Si mlisema maandamano yatakuwa mitandaoni? Kiko wapi?
Yale si maandamano . Wale jamaa njaa inawahangaisha kama wewe.. mmoja 100000. Tutawatoa utumbo wowotewisho wa siku yupo 64Mil kawatafuteni vibaka wengine na wala Inga wengine muwalipe.. waaharibu miundo mbinu TENA.. Hebu toka siku moja uandamane... Baada ya kukuqpisha Raisi wetu mteule tutaanza Ku deal na nyingi wapuuzi
 
Yaaani nyie Wazanzibari milioni 2 mtuue na kutumaliza Watanganyika Milioni 64 wote?

Ndo hao wanajeshi wa kukodi wa uganda wanawapa kiburi eeh??

Subiri mtaona.
 
Yaaani nyie Wazanzibari milioni 2 mtuue na kutumaliza Watanganyika Milioni 64 wote?

Ndo hao wanajeshi wa kukodi wa uganda wanawapa kiburi eeh??

Subiri mtaona.
Kwa hivyo jeshi.leo.mliolitegemea kuchukua nchi limeshindwa na jeshi.la kukodi kutoka Uganda! Hivi nyinyi vichwani menu mna tope? Basbiru alikuwa Kwenye kukabidhiwa cheti cha ushi ndi mama.. na CDF alikuwa ZNZ kuhudhuria kuapishwa Kwa Rais wa ZNZ. Kesho tupo Chamwino . Poleni Sana .. misa ijayo ya jumapili sijui mtawabia Niki waumiji wenu... Unakumbuka muembe chai waislmu kilichowakuta au kibiti. Sasa jitoweni fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…