Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

TLS Mpo? Tunaomba mfuatilie kwa karibu sana kufungua kesi ICC haraka sanaaa
 
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo
Eti aliwaambia jeshi litawalinda, mange mpuuzi kweli, mtu na akili zako unamsikiliza mange. Ila CCM pia mjitafakari muda umebadilika watz wa leo sio wa jana na juzi, jitahidini mpumguze ukali wa maisha, acheni kudharau na kukebehi wananchi
 
Yaani hamna cha kujielezea eti ndo sababu ya kuharibu mali za watu na kuiba , maandamano unavunja ATM? Hayo mandamano ujambazi yaani nashikwa na hasira nina hamu watafutwe chap nipewe miwachagulie adhabu mbona ningechimba shimbo futi 40 chini najaza vyuma scraper na machupa yaliyovunjika kisha najaza maji kama futi 8 halafu nawachapa risasi za miguu kisha unawatupia huo kwa makundi yaani waogelee huku wanahomwa chomwa na vitu vyenye ncha kali na kutu , mpaka wafe , yaan kila aliyeshiriki kuvunja atm au duka la mtu , nawasamahe waliochoma mambango ya ccm na vituo vya uchaguzi hao ntasema hasira za kisiasa wanaeleweka na wasamehe asilimia 100 ma
 
Eti aliwaambia jeshi litawalinda, mange mpuuzi kweli, mtu na akili zako unamsikiliza mange. Ila CCM pia mjitafakari muda umebadilika watz wa leo sio wa jana na juzi, jitahidini mpumguze ukali wa maisha, acheni kudharau na kukebehi wananchi
Yaani bila kujali uchama hapa issue ni vijana hawana kazi na kweli mama asifanye masikhara na kutengeneza ajira mpya, na bila kubana wafanya kazi wa seriakali kwa kuwafunga 2027 timbwili jipya
 
Eti aliwaambia jeshi litawalinda, mange mpuuzi kweli, mtu na akili zako unamsikiliza mange. Ila CCM pia mjitafakari muda umebadilika watz wa leo sio wa jana na juzi, jitahidini mpumguze ukali wa maisha, acheni kudharau na kukebehi wananchi
jamani yaani watanzania ni majinga daraja la kwanza kabisa mtu ana chuki zake binafsi na watoto wa wakubwa basi kaivalisha chuki nchi nzima , anakuja na story zake kila siku anacheza na akili ya majinga mavi kichwani mara ohhh jeshini kuko hivi mara kuko vile, mara wanajeshi wamenihakikishia wanapindua 🙂🙂🙂
 
Kila mtu katumika kwa nafasi yake. Huyu katuma na yule katuma.

Huyu katuma kuponya, yule katuma kuangamiza.

Kilicho muhimu, shangilia kwa sababu una muda wa kushangilia. ✍🏾

Safari bado ni ndefu, na sote hatujafika bado.
Usishangilie kifo hata kama aliyeuawa ni mwizi. Ni pigo hasa kama maiti ni mwenye haki. 🙏🏾
 
Unaweza kuwa una hoja nzuri, ukikosea namna ya kuiwasilisha inapoteza umaana wote. Tunataka haki sawa, tunadai vipi hiyo haki ndiyo shida inapoanza.
 
Mange kawaponza watoto wa kimaskini wasio na uwezo wa kufikiri na kuhoji kwa kina. Nina uhakika wale waandamanaji ungewauliza chanzo cha wao kuandamana, wasingekuwa na majibu ya kueleweka. Mbona palikuwa na maandamano ya CHADEMA chini ya Mbowe hakuna aliyeuwawa, TUJITAFAKARI. Mange kawachochea watoto na kuwathibitishia jeshi lipo upande wao watapindua nchi, as a result story zimebadilika anajiliza unafiki tu. WATOTO WASHAKUFA, yeye yupo na muda si mrefu ataanza ku post habari zake za UMBEYA.
 
Na kuwaringishia kwa ujinga wao kanunua gari new model.
 
Sio tu ajira bali ajira zenye tija na maslahi kukwamua watu kwenye umaskini.

Sio mnaleta wawekezaji halafu bado mzawa anapewa manual works zenye ujira ambao ni "peanut" halafu wao wanapeana clerical works na kulipana ma allowance na mishahara in thousand dollars.

Hili lisifumbiwe macho kwa kweli.
Tunatengenezaje ajira wakati tumewakumbatia waarabu, wahindi na wachina. Hawa watu hawaana ethics za kutoa ajira ulizoainisha hapo juu.
 
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo
Hao ndiyo walioleta wanajeshi Wageni,polisi kutoka Zanzibar Nk ili wale watuue
 
Tunatengenezaje ajira wakati tumewakumbatia waarabu, wahindi na wachina. Hawa watu hawaana ethics za kutoa ajira ulizoainisha hapo juu.
Sasa serikali ndio inatakiwa ishinikize hilo toka wanaingia nchini. Wajue kuwa wana wajibu wa kuja kuendeleza uchumi wa nchi kupitia biashara zao ila pia kuboresha maisha ya raia watakaofanya nao kazi kupitia ujira wanaowalipa.
 
Unaweza kuwa una hoja nzuri, ukikosea namna ya kuiwasilisha inapoteza umaana wote. Tunataka haki sawa, tunadai vipi hiyo haki ndiyo shida inapoanza.
Ni sahihi mkuu.

Lakini, ni nani alipaswa kuwafundisha watu/wananchi ambao wamechanganyika. Asilimia kubwa ni wasio na elimu.

Ule muda wa kuwashambulia, kwanini wasingeitwa na vyombo husika wakaulizwa, mnasemaje? Piteni njia hizi. Kwani wangegoma?

Niseme tu kwamba, kilichokosekana ni ' right controller'. Nguvu iliwahi zaidi kuliko akil..
 
Sasa serikali ndio inatakiwa ishinikize hilo toka wanaingia nchini. Wajue kuwa wana wajibu wa kuja kuendeleza uchumi wa nchi kupitia biashara zao ila pia kuboresha maisha ya raia watakaofanya nao kazi kupitia ujira wanaowalipa.
Serikali yetu ina mawazobya kupiga hela ndani ya miaka kumi. Suala la ajira linahitaji mkakati mrefu. And on top of that uwekezaji kutoka kwa makampuni ya nchi zinazojielewa. Kuvutia wawekezaji inabidi tuwe na the cheapest energy. Yaani bei ya mafuta, umeme iwe chini. Lakini kukubali hivi watakosa hela za kupiga. Maana mpaka kesho bado tunanunua umeme IPTL.
 
Sema wao walijua tutaandamana km ulaya, kumbe Kwa bongo ni wizi na uharibifu. Sasa wangezuiaje huo ujambazi.
 
Politics za Ulaya unaleta Bongo. Haki za Binadamu za Ulaya unazileta Afrika. Ngumu sana.
 
Si mlisema watu hawatatoka eti hakuna nywiiii nywiii nywiii
 
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo
Ulipaswa uainishe hoja zao zote hapa ili uzipinge kwa hoja ili upate uhalali wa unachodai!! Nadhan kuna mentality unayo ya kudhani watanzania bado ni mbumbumbu hawajitambui, hawajui haki zao, hawajui uendeshaji wa nchi yao, hawajui ubadhirifu na ufisadi wa viongoz wao, hawajui kua hakuna fairness kweny siasa, hawajui ubovu wa katiba, hawajui ubovu wa tume ya uchaguz!!! Mlipaswa mkubali kua watanzania sio wale wa enzi za 60s!!
 
Binafsi nashindwa na kushangaa kwa wakati mmoja najiuliza watu vijana wa sample ya huyu ni akili zao kabisa kabisa au wana laana inayowafuata sawa na inayomfuata yule shetwani.
 
Back
Top Bottom