Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo
Hivi unaamini kweli kwamba Mange Kimambi na Maria Sarungi ndio waliwafanya watu waandamane wakiwahamasisha kutoka nje ya nchi? Kunahitajika mhamasishaji wa kiwango cha juu sana kuweza kufanya hivyo, kama siyo watu wenyewe wanaokuwa na mawazo hayo. Kitendo cha kuwaweka kizuizini viongozi wa CHADEMA wakati huu kimekuwa kwa faida ya CHADEMA. La sivyo ingesemwa wao ndio waliosababisha maandamano. Ukweli ni kwamba Watanzania kwa ujumla hawakuridhika na uchaguzi wakaingia barabarani, bila hata na kuwa na kiongozi anayeratibu maandamano yaendeje. Hiki ni kielelezo cha wazi kwamba wananchi hawakutaka uchaguzi feki.
 
Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu na

TANZANIAN STUPID AND IDIOT IS HERE

Miongoni mwa Watanzania wapumbuvu tulioachiwa na Nyerere ni pamoja na wewe

Maandamano yanaendelea
 
endelea kujidanganya huku unakunywa pepsi baridi na kuota mchana chini ya mwembe , watoto wameshajua kuwa serikali yeyote haichezewi Ruto aliwalegezea wakamshika matako, alivyoamrisha piga risasi mpaka leo maandamano yamebakia kwenye youtube , tiktoka na instagram tu , KAGAME alishawafumua kweli kweli 2006 walijifanay wamevuta bangi ya milimani mbona macho yaliona ghfla
 
Hivi unaamini kweli kwamba Mange Kimambi na Maria Sarungi ndio waliwafanya watu waandamane wakiwahamasisha kutoka nje ya nchi? Kunahitajika mhamasishaji wa kiwango cha juu sana kuweza kufanya hivyo, kama siyo watu wenyewe wanaokuwa na mawazo hayo. Kitendo cha kuwaweka kizuizini viongozi wa CHADEMA wakati huu kimekuwa kwa faida ya CHADEMA. La sivyo ingesemwa wao ndio waliosababisha maandamano. Ukweli ni kwamba Watanzania kwa ujumla hawakuridhika na uchaguzi wakaingia barabarani, bila hata na kuwa na kiongozi anayeratibu maandamano yaendeje. Hiki ni kielelezo cha wazi kwamba wananchi hawakutaka uchaguzi feki.
haswa kwa sababu miezi mitatu wanendesha marria space na youtube ya kuonyesha Abduli kaiba elvis kaibaaaaaa, ukweli ni kuwa inawezekana wameiba kwa kiwango flani, lakini ana chuki nao binafsi, hapa mkiambiwa kuna watu wanaiba balaaa , kuliko hata hao mnaowataja , kuna familia naiheshimu sana maana tnunajuana lakini wana nyumba walinunua cash Canada miaka ya 2002 zaidi ya 300 mtaa mmoja Vaughan kila moja wanakodisha doala 4500 kwa mwezi , Major MACKENZIE ROAD sasa huyu mbona hatajwi tajwi? bado wapo wengi mno mgechunguza mawaziri wa madini, mawaziri wa maliasili na mawaziri wa fedha toka mwinyi mpka kwisho wa kikwete na makatibu wakuu msingemsikiiza mange na ujinga wake, Sasa Andrew Chenge utasemaje au kwa sababu hana mbwembwe ? lakini ni nyoko balaaa ni mtaji wa ka wilaya kako kote
 
huo uchafu uanitwa ICC haupo siku hizi hakuna wa kujiunga huko waanze na Netanyau kwanza au wamemshindwa Dagalo tu wa Janja weed au wa M23 ndo wamguse Rais wa nchi yenye afya yake na ushawishi kimataifa ?
Subiri uone Samia anavyoenda ICC
 
Njia zipo za kulalalmika tafuta post yangu nililalamika siku 3 tu polepole aliposhikwa kuwa Samia mwache polepole anawakilisha mawazo ya wasiokupenda ana haki kabisa ya kukukosoa maana wewe sio chocolate upendwe na kila mtu na ni kweli serikali yako inamapungufu sana hasa hasa uzembe na rushwa , hata leo siiipendi anavyoendesha lakini sio kuandamana na kufanya uharibifu kifala vile
Watu mpaka wamefikia kufanya uharifu ule ni kwasababu vilio vyao vimeshindwa kusikilizwa kwa muda mrefu na watawala walikuwa Wana nafasi kubwa ya kuwasiliza lakini wameshindwa kufanya hivyo badala yake watawala wamewapuuza hivi ngoja nikuuliza kwa akili ya kawaida kwa namna uchaguzi huu ulivyokosa msisimko na vituo vingi vya uchaguzi kuharibiwa hizo kura mil 31 za Mama zilitoka wapi? Wewe huoni ni ujangili wa waziwazi?
 
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo
Mange ndiyo aliyekuwa na Jersey ya yanga sio anagomeka magazine?
 
Njia zipo za kulalalmika tafuta post yangu nililalamika siku 3 tu polepole aliposhikwa kuwa Samia mwache polepole anawakilisha mawazo ya wasiokupenda ana haki kabisa ya kukukosoa maana wewe sio chocolate upendwe na kila mtu na ni kweli serikali yako inamapungufu sana hasa hasa uzembe na rushwa , hata leo siiipendi anavyoendesha lakini sio kuandamana na kufanya uharibifu kifala vile
Nilikuona nyumbu..ila uko sahihi..tunataka mabadiliko ila sio ya uharibifu wa miundombinu na mali za watu..maana ili miundombinu irejeshwe itabidi kodi ipande..kitu ambacho kitaleta tena malalamiko kwa sisi wananchi
 
Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako

Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu

Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu yaliyopo ili yasitutokee kama yaliyotekea tena baadae chonde chonde yasitokee tena

Kuanzia sasa tuanze kulinda mipaka yetu ya kimtandao na TCRA kanunueni mtambo unaitwa TDRE U221 wRidhiwana russia unachuja maaudhui fungieni vitu vyote kutoka kwa hawa majirani zetu

Mwisho ajira ajira ajira ajira vijana wengi waliojitkeza ni wasio na kazi tujirekebishe kama nchi kutenegeneza ajira nyingi sana kwa haraka na kama mkakati wa dharura kuliko vyote tena iwe dharura kweli kweli

Mwisho kweye baraz lako la mawaziri usiwaweke watu wenye tuhuma utarudisha chuki kwa wananchi mfano, Mwigulu, Nape, Ridhiwan Makonda , Mnyeti,

Narudi kesho na makala maalum kwa vyombo vya ulinzi eneo nililo n uzoefu nalo

Watakuwepo kama mashahidi na mashujaa wa nchi hii lazima wataenda
 
Too late, wamepanga maandamano mengine tarehe 9/12/2025 kwenye sikukuu ya uhuru.
 
Ccm wamejaa vilaza wasio na akili kama huyu mpuuzi mleta mada.

Kwenye vyombo vya habari vyote duniani sasahivi tuhuma zote anazopaswa kushtakiwa mtu Mahakama ya ICC anatuhumiwa nazo samia alafu linajileta humu kudai eti Maria Sarungi na Mange ndo washtakiwe.

Wanadhani Dunia haijaona alichofanya Samia. Ngoja waoneshwe sasa
 
Back
Top Bottom