Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

Huko Daslaam kuna kazi sana aisee, pole sana Lissu vijana unaowapigania wamepoteza dira kabisa
si dar es salaam peke yake bali bongo kwa ujumla, hujasikia wale wanawake wanaovuka boda kwenda kupata huduma ya dushe nchi jirani?
 
Niseme tu hawa wadai hii kesi hawatoboi. Sababu zipo wazi ila zote zinabebwa na kanuni kuu. Yeyote anayedai kutokea jambo fulani sharti athibitishe. Hii kanuni ni mlima mrefu sana kwao.

Kwanza kuthibitisha kuwa Mange ndio mmiliki wa hiyo App sio kazi ndogo. Then athibitishe ndie author wa hizo habari napo ni mlimaa mrefu sana.

Haya tuje huku kwa Aslay, kuweza kuthibitisha ndie aliyetoa hizo video sio jambo rahisi kabisa, hapo hatujaangalia ujinai wa marendo yaliyotokea maana wote ni wakosaji kwenye jinai maana ki kinyume na maumbile na huyu technically kashakubali kosa.

Haya sasa kuthibitisha video husika ni halisi sio edit aise huo mlima ataishiwa pawa mapema sana.

Kwa huyo Dj vipi ameambatanisha ripoti ya daktari kuonesha kuwa bado marinda yapo?, bila hiyo ripoti hapo ni kutwanga maji kwenye kinu tu.

Anyway wakili wao ana mchoro wake wa kesi, ila hivi ni vyakuzingatia sana kabla ya kupiga hodi Mahakamani.

Bila kuhatarisha haki ya yeyote, hii kesi ngumu kushinda.
 
Yaani watatuliwa rinda ndio wameenda mahakamani na bila shaka mahakama itataka kuthibitisha ikiwa rinda lipo, hapo ndo kimbembe
 
Kuanzia sasa hivi anatakiwa lazima awe ameshapeleka ushahidi kuwa rinda lipo kwa kuambatanisha ripoti ya daktari mpimaji rinda.

Yaani kwenye moja ya paragraphs za plaint yake lazima awe na paragraph moja inayo onesha hafanyi hayo mambo na kuwa hata marinda yapo alafu sasa anaambatanisha hiyo ripoti kama labda annexure P-1.

Bila hivyo ni utata mtupu hapo
 
Aslay anatembea Sana na mashoga na itakuwa ameathirika kuna shoga ana Kama 60s yrs amemkula Sana
Haya yote kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali mkombozi wa waislamu alipigania sana dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Aliuwawa kikatili Sana.

Screenshot_2025-07-15-22-17-10-21_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
Screenshot_2025-07-11-11-54-34-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Kisa anataka kusaini Wasafi ndio mnataka mumtoe kwenye reli, dogo aslay mboni anaendelea na mbishe zake tu
 
Kuwa na akili hiyo kesi inahusiasa vipi na mambo ya wasafi? Kwa mtindo huu Braza K ataendelea kula tone tone zenu.
 
Back
Top Bottom