Umezama deep mkuu..Safi sana@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!
Jf hakuna machizi tutamtoa baru mapema kabisa.
Usimuamini Muongo hata akiongea ukweliKwani shetani akifanya jambo jema haliwi jema????
Ila unaweza ukamsikiliza!! Na ukafanya utafiti!! Sasa nyie hamtaki hata asikilizwe anayosema yatiliwe manani mnatoa mapovu ka mnakaa EmcoUsimuamini Muongo hata akiongea ukweli
tehe tehe, atatukaniwa mpaka majirani zake...Kamwambie Instagram kama wewe mwanaume...
Hv ww una mungu?Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.
Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.
Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.
Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?
Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.
Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.
Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
mkuu Ngoma imegeuka kwao Leo wanamuita chizi..kaz kweli kweli.....alipokuwa anamtukana lowassa hakuwahi hata siku moja kuweka ushahidi!
Ayaaaa! wapi tena huko waungwana hawa wazazi wana husishwaje humu?kama mamaako mzazi!¡!!
Aaaaaah wapi tunamkaribisha kufungua special page humu atuanikie uozo. Wewe kama ni muathirika wa silaha zake anza kutafuta uhamishoNasikia kasema akitoka huko anahamia kutukana JF,hapa asithubutu tutamfanya kichaa atembee uchi hovyo barabarani
Hahhahas kumbe hujawah mpendaHuyu mange sijawai kumpenda ni mjinga sana
Mbwembwe tu atakuumbua weweWe... mwache aje akione cha moto, si ajabu sisi Tutaanza kumtukana huko huko aliko kabla hata hajaingia humu.
@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!
@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!
Kila Binadamu Ana Mazuri Na Mabaya Yake, Hivyo Sio Vibaya Hata Kabisa, Kumsifia Kwa Jambo Jema Ambalo Amelitenda Kwa Wkt Fulani Au Pahala Fulani Ama Ktk Muda Muafaka!! Au Kumkosoa Na Kumkemea Kwa Jambo Baya Ambalo Pia Limefanywa Na Mtu Huyo Ktk Vipindi Hivyo Pia!! Hata Hao Akina Idd Amini Walikuwa Na Mabaya Yao Yaliokemewa Na Wananchi Na Kuna Mazuri Yalio Pongezwa Na Kuheshimiwa!!! Hivyo Hiyo Sio Hoja Ya Msingi, Labda Ungetuambia Kwa Kuwa Alichokisema Ni Uongo, Uzushi, Fitina, Majungu Na Chuki! Kwa Kuweka Ushaidi Wako Kuprove Usemayo!! Hapo Tungeanza Kujitafakari Upya!!Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.