Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

Mange Kimambi ni Spika ya Redio tu

@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!
Umezama deep mkuu..Safi sana
 
.....alipokuwa anamtukana lowassa hakuwahi hata siku moja kuweka ushahidi!
 
Leo Mange unafurahia kuona unaongelewa humu. Sababu post zako za insta jana uliandika kuwauliza kama jamiiforums wapo tayari na bomu unalotaka kurusha. Na umefanikiwa.
 
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.

Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.

Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.

Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?

Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.

Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.

Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Hv ww una mungu?
 
kazi kwenu kashafanya yakee......zamu yenu sasa
 
Huo uozo wangekuwa wametoa UKAWA mngewasifia kweli ila leo kaamua kutufumbua macho mnasema ooogghh muongo, hayo ni matokeo ya kuazisha ugomvi naye, mtajibeba. Kaa mbali na kichaa utaumia, hamsikii
 
Nasikia kasema akitoka huko anahamia kutukana JF,hapa asithubutu tutamfanya kichaa atembee uchi hovyo barabarani
Aaaaaah wapi tunamkaribisha kufungua special page humu atuanikie uozo. Wewe kama ni muathirika wa silaha zake anza kutafuta uhamisho
 
@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!

Kwahiyo kwavile sijachangi, au nina miezi saba, ai ni thread ya kwanza siwezi kuongea point, wewe uliyejiunga mwanzo heri yako, ila kama kuna watu na wewe walikupita basi kaa tulia jibu hoja acha kuattack personality. Ukiona unamshambulia mtu na si hoja basi wewe umekwisha.
 
@Gilder Mushi!
Una miezi 7 tokaa ujiunge JF na una posts 26 na hii ndio thread yako ya Kwanzaa!
Hujachangia JF toka October 21, 2015 (miezi 5) lkn leo in thee space of just 15 minutes umekuja na your first thread na post kumshambulia Mange juu ya maakambaa!
Unatetea kitu gaani hadi ukaamua kutoka huko chimbo!
It is true Mange anaweza kuwa muongo lkn sidhani kama ni sahihi kutuambia tusimsikilize! Yaani hata kama ni chizzi ndio hana haki yaa kusema ukweli, tutapimaa kinachossemwa na sio akilli yake!

sasa kwani kuchangia kila siku ni lazima nae Ana uhuru WA kuandika ajisikiavyo,so habari za kujiunga sijui Lini sio habari maana hulipwi ukijiunga
 
Ukweli unachoma kama Pasi wacha Atumbue tu,,,Hatumuone yey ni shujaa tunasubir ujumbe wake ukamilike
 
Mtoa mada acha tusome yanayojiri kwani mwisho penye ukweli uongo hujitenga.
 
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo.

Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti inayosemekana ni ya Mwamvita Makamba aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baadhi ya watu wameonekana kufurahia kitendo hichi kwa kumuita Mange kuwa ni shujaa na mtu anayeweka wazi maovu.

Mimi sipingani na jambo uamuzi wao ila nina swali moja kwa hawa watu wanaomshabikia Mange.

Je! Mange huyu mnaemsifu leo ndiyo yule mliekua mnamtukana jana?
Ni kweli umeamua kurudia matapishi yenu ya jana kwa vile tu leo yamepuliziwa marashi?

Mlimtukana sana Mange alipokua akimsifuu JM mkamuona ni mpumbavu na msema uongo namba moja,ila leo kwavile amemponda basi na nyinyi mmegeuka na kumsifu.

Embu jichunguze wewe mtanzania acha kupelekeshwa kama upepo, kabla hujasambaza au kuamini kitu kichunguze kwanza.

Kama jana ulimuona Mange ni Muongo, nini kimekufanya leo umuamini?
Kila Binadamu Ana Mazuri Na Mabaya Yake, Hivyo Sio Vibaya Hata Kabisa, Kumsifia Kwa Jambo Jema Ambalo Amelitenda Kwa Wkt Fulani Au Pahala Fulani Ama Ktk Muda Muafaka!! Au Kumkosoa Na Kumkemea Kwa Jambo Baya Ambalo Pia Limefanywa Na Mtu Huyo Ktk Vipindi Hivyo Pia!! Hata Hao Akina Idd Amini Walikuwa Na Mabaya Yao Yaliokemewa Na Wananchi Na Kuna Mazuri Yalio Pongezwa Na Kuheshimiwa!!! Hivyo Hiyo Sio Hoja Ya Msingi, Labda Ungetuambia Kwa Kuwa Alichokisema Ni Uongo, Uzushi, Fitina, Majungu Na Chuki! Kwa Kuweka Ushaidi Wako Kuprove Usemayo!! Hapo Tungeanza Kujitafakari Upya!!
 
Back
Top Bottom