Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Huyo haeleweki yupo km kinyonga, ni mwashamba wa bei za jioni..!!

Alikuwa anaandika nyuzi nzuri zamani sasa hivi yupo km mtu mwenye bipolar
Ni mtu hatari sana hao ndio wale wanaonunulika, kukosa msimamo ni udhaifu mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…