Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Habari aliyoitoa mange mda huu kwamba tesha yupo uraiani tena nje ya nchi halafu mange anasema anayajua mengi kuhusu tesha ila anasema hawezi kuongea Sana ataharibu mambo

mang.png
 
Habari aliyoitoa mange mda huu kwamba tesha yupo uraiani tena nje ya nchi Kuna nini kinapikwa hapa kaam kapten tesha yupo nje ya nchi hii nchi ina asilimia kubwa kwenda kutokea waasi kimasihara masihara tu Kwa sababu ya kulinda majangili wachache wenye nyazifa za juu

Tunakusanya majina ya waliouliwa na ndugu zao tuunde Jeshi.

Hakuna Maridhiano na CCM
 
Habari aliyoitoa mange mda huu kwamba tesha yupo uraiani tena nje ya nchi halafu mange anasema anayajua mengi kuhusu tesha ila anasema hawezi kuongea San ataharibu Kuna nini kinapikwa hapa kaam kapten tesha yupo nje ya nchi hii nchi ina asilimia kubwa kwenda kutokea waasi kimasihara masihara tu Kwa sababu ya kulinda majangili wachache wenye nyazifa za juu
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
 
There are too many ways of fighting wars
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Kwahiyo wewe ndio unajua sana Wakati habari ya tesha kupelekwa dodoma aliileta mange Leo tena kaleta habari tesha yupo nje ya nchi halafu wewe unajifanya mjuaji sana
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Source zako zinapinga taarifa iliyothibitishwa kwenye sauti ya Kamanda anayetuhumiwa kuongoza kikosi Cha watekaji?
Afande alimuita muhuni Capt.Tesha na kusema ametorokea nje ya nchi.
 
Tanzania haiwezi kuwa Ile tena, hilo lazima tukubaliene, viongozi walizembea uwajibikaji, wamedharau walipa Kodi na kujiona wao ni untouchable, werevu walionya ila wakaonekana wana wivu na utajiri wa viongozi.
Tuchukue mfano wa hoja ya Mama Kikwete ya wenza kulipwa mafao kisa wamehudumia waume zao, kweli CCM inagongea meza hoja kama hii wakati wajawazito wanalala chini kwenye baadhi ya hospital, tena za hapa Dar, ulafi wa hali ya juu sana.

Utekaji, hili ndio Jambo ambalo limemuharibia sana Madam President, pamoja na malalamiko, kelele kutoka kila Kona ya Nchi lakini bado alipuuza sauti za wananchi wake, unashangaaje Tanzania kufika hapa, lilikuwa swala la muda tu hizi hasira zilipuke.

Suala la kudhibiti kimabavu wanasiasa wa vyama vya upinzani nalo ni janga lingine, binafsi niliona bora awaache uraiani wafanye siasa, watafutwe magwiji wa kujibu hoja huko CCM,bona wapo wengi Tu, bahati mbaya akawaachia Chawa Kazi ya kujibu hoja za kina Lissu, badala ya kujibu hoja wao wanakera kebehi, wananchi sio wajinga wanaona kabisa hapa hakuna majibu zaidi ya dharau, kawafunga CDM wote sasa anapambana na VIJANA/ WAFUASI WA CDM/RAIA WENYE MAISHA MAGUMU lkn pia hata adui zake ndani ya CCM nao bila Shaka wanachochea Moto.
Tukifanya mchezo hapa ndio Tutakua tumefika, Tanzania isiyo na utulivu.
 
Back
Top Bottom