Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Polepole kauawa lini?
 
Source zako zinapinga taarifa iliyothibitishwa kwenye sauti ya Kamanda anayetuhumiwa kuongoza kikosi Cha watekaji?
Afande alimuita muhuni Capt.Tesha na kusema ametorokea nje ya nchi.

Ndo hapo sasa
 
Kasema anarudi jiandae anakuja kukuchumbia
Kwamba jeshi liko upande wenu mkijtokeza saa mbili tu Asubuhi mnaichukua nchi, kilichowakuta hamtasahau saa hiyo Mange anakula pizza we umejificha kwenye box la biskuti

Nyumbu kweli nyie
 
Machawa mkisikia uasi mnajinyeanyea mshazoea kupata vya bure kupitia, wananchi wakiuwawa Sasa muda sio mrefu na nyie mtaanza kulengwa risasi
Ahahaha 😂 😂 😂
First time aliwalisha matango pori mkafumuliwa mavi na ubongo.
Ameanza tena propaganda za ******* awajaze muingie road mkafe zaidi
 
Back
Top Bottom