Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Mbona km wewe ndo una pepo wachafu 😹Huyu dada ni pepo wachafu wako ndani yake.
Safari hii hao Pepo wachafu tutawaamuru wakamuue yeye mwenyewe.
Watanzania wamekufa still analeta propaganda zake
Watanzania wameuliwa na nani?