Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Tupate na suicide drones za kupiga quoters na nyumba za polisi, Sambamba na viongozi wote waandamizi wa jeshi la police. Ikiwezekana unaituma hata wakati wa uzinduzi wa bunge ili ituondolee virusi wote.
Hawa washenzi wametuulia ndugu zetu wasio na hatia kinyama sana. Hata kama walikuwa wanatuliza maandamano ila sio kwa unyama ule wa kufuata watu hadi majumbani na kuwaua.
Yaani ningekuwa nipo sector ya afya halafu akaja police ama ndugu yake ningemzidishia Dozi ya dawa ili akafie mbele huko.
Nimetokea sana kuichukua Serikali ya awamu ya6 kwa unyama waliofanya.
Njia pekee ya kukabiliana nao ni kulipiza tu. Tandika mmoja baada ya mwingine.

Kumtegemea mtu aliyekuacha uchinjwe kama mdudu ni uwendawazimu tu.

I guess labda hilo jina la Kapteni Tesha linawapa watu faraja hewa iliyo ya muda mfupi.

La sivyo huyo jamaa hana umuhimu wala msaada wowote ule.

Hapo ni kupambana tu na Samia by any means necessary.

Kumtegemea Kapteni wa YouTube ni umajinuni.
 
Kuna haja ya kutafuta msaada toka Houth wa Yemen. Hawa dawa yako ni drones tu.
 
Njia pekee ya kukabiliana nao ni kulipiza tu. Tandika mmoja baada ya mwingine.

Kumtegemea mtu aliyekuacha uchinjwe kama mdudu ni uwendawazimu tu.

I guess labda hilo jina la Kapteni Tesha linawapa watu faraja hewa iliyo ya muda mfupi.

La sivyo huyo jamaa hana umuhimu wala msaada wowote ule.

Hapo ni kupambana tu na Samia by any means necessary.

Kumtegemea Kapteni wa YouTube ni umajinuni.
We jamaa kuna mda ukitokea pembeni ni kama una dribble vizurii ila ukitokea kati au ukianzia mashambulizi chini ni galasa mtupu. Nimejitahidi kukuelewa kwamba upo kundi lipi nimeelewa sasa wewe ni kama linesman kidizaini..
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Wote wanaomuamini HAWANA AKILI period.
 
We jamaa kuna mda ukitokea pembeni ni kama una dribble vizurii ila ukitokea kati au ukianzia mashambulizi chini ni galasa mtupu. Nimejitahidi kukuelewa kwamba upo kundi lipi nimeelewa sasa wewe ni kama linesman kidizaini..
Kipi ambacho hujaelewa hapo kwenye ulichokinukuu?
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Kaka ake polepole anasema mdogo wake yupo hai
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Sourses zipi hizo mbona ulikuwa hujasema kwamba Tesha yupo dodoma mpaka mange alivyoongea?
 
Kwahiyo wewe ndio unajua sana Wakati habari ya tesha kupelekwa dodoma aliileta mange Leo tena kaleta habari tesha yupo nje ya nchi halafu wewe unajifanya mjuaji sana
Analeta ujuaji kwenye wazoefu 😂
 
Anaongea tu.Kumbuka alisema mdogo wake ana Tchip mwilini .Why kashindwa kumlocate ? HIVI ULE UKATILI TULIOSHUHUDIA DHIDI YA GEN Z,UNAAMINI POLEPOLE ATAKUWA HAI? Polepole ashakufa siku ile ile.
Daa inawezekana kabisa upo sahihi vijana wa kiume wameuawa,wanapigwa amani ya kinafiki hakuna amani Tz
 
Wa Uganda walikuwepo Siri zilipovuja wakarejeshwa kwao haraka
 
Anaongea tu.Kumbuka alisema mdogo wake ana Tchip mwilini .Why kashindwa kumlocate ? HIVI ULE UKATILI TULIOSHUHUDIA DHIDI YA GEN Z,UNAAMINI POLEPOLE ATAKUWA HAI? Polepole ashakufa siku ile ile.
Leo nimeangalia clip ya mtoto wa kiume….mvulana tu ambaye sidhani hata umri wa miaka 10 yule.

Kapigwa risasi ya tumbo. Utumbo wote uko nje na kwa muonekano ndo alikuwa anapumua pumzi zake za mwisho.

Aisee jamaa ni makatili. Yule mtoto hana kosa kabisa aisee lakini wamemuua.

Polepole watakuwa washamyeyusha kwenye ma tindikali huko.

Halafu watu bado wanamtegemea Kapteni Tesha 😀.
 
..Mama Abduli angetekeleza 4R Watz tusingevurugika namna hii. Na mambo yakiharibika zaidi itakuwa ni kwasababu ya uongozi mbaya wa Mama Abduli.

hapana, tutayaharibu wenyewe kwa mikono yetu. binaadamu tunatakiwa tufanye mambo yetu kwa kutumia akili na sio mihemko. Hakuna atakaefaidika na nchi kua na vikundi vya uasi zaidi ya wageni watakaokuja kochota mali.
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Unachosema wewe hapa ni kuwa unakubaliana na "mama na CCM" zaidi kuliko anayosema huyo "dada"!
Huna sasabu hata moja ya kumwamini huyo dada; kwa sababu hana mamlaka yoyote kwako, na wala hufaidiki na chochote toka kwake kama unavyo faidika na huyo mama yako na hiyo CCM iliyojaa kichwani mwako.

Unafiki ni ugonjwa mbaya sana; ndio ulio tufikisha hapa tulipo sasa.
 
Back
Top Bottom