Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Tanzania haiwezi kuwa Ile tena, hilo lazima tukubaliene, viongozi walizembea uwajibikaji, wamedharau walipa Kodi na kujiona wao ni untouchable, werevu walionya ila wakaonekana wana wivu na utajiri wa viongozi.
Tuchukue mfano wa hoja ya Mama Kikwete ya wenza kulipwa mafao kisa wamehudumia waume zao, kweli CCM inagongea meza hoja kama hii wakati wajawazito wanalala chini kwenye baadhi ya hospital, tena za hapa Dar, ulafi wa hali ya juu sana.

Utekaji, hili ndio Jambo ambalo limemuharibia sana Madam President, pamoja na malalamiko, kelele kutoka kila Kona ya Nchi lakini bado alipuuza sauti za wananchi wake, unashangaaje Tanzania kufika hapa, lilikuwa swala la muda tu hizi hasira zilipuke.

Suala la kudhibiti kimabavu wanasiasa wa vyama vya upinzani nalo ni janga lingine, binafsi niliona bora awaache uraiani wafanye siasa, watafutwe magwiji wa kujibu hoja huko CCM,bona wapo wengi Tu, bahati mbaya akawaachia Chawa Kazi ya kujibu hoja za kina Lissu, badala ya kujibu hoja wao wanakera kebehi, wananchi sio wajinga wanaona kabisa hapa hakuna majibu zaidi ya dharau, kawafunga CDM wote sasa anapambana na VIJANA/ WAFUASI WA CDM/RAIA WENYE MAISHA MAGUMU lkn pia hata adui zake ndani ya CCM nao bila Shaka wanachochea Moto.
Tukifanya mchezo hapa ndio Tutakua tumefika, Tanzania isiyo na utulivu.
Mkuu umeandika ukweli kabisa. Ila ulevi wa madaraka umewapofusha. Na mbaya zaidi ni kuwa elimu yao ni ndogo hivyo upeo wa kuona mambo kwa kina ni sifuri. Madaraka kwenye mikono ya wapumbavu ni hatari sana.
 
Keep shaking your ass in front of me and see if it will still be absolutely nothing to you.
Your pinhead is filled with such delusional images, which may explain the harrowing experiences you had to endure from your childhood!
 
nyie jamaa naona mnaona kama ni mchezo wa kuigiza vile,siku ya kuanza hivo vikundi vya uasi mutatamani maisha yaliyopita ila ndio wapi tena
Nani wa kulibadili hili

Wananchi wanaofurahia au viongozi ambao wao ndio wana power ya kuamua hili suala liweje
 
Nani wa kulibadili hili

Wananchi wanaofurahia au viongozi ambao wao ndio wana power ya kuamua hili suala liweje
..
Wote kwa pamoja.. masikio hayakuumbwa km urembo kulingishia heleni yule muumbaji aliyaumba kwa sababu kuna upande hautaki kusikia na upo upande hautaki kusikiliza hapo lazima ulindi ukutane na ulimbombo
 
..Mama angetekeleza 4R uchaguzi ungefanyika salama bin salmiin.

..tatizo la Mama ni kuanza kuteua watu waliokuwa na rekodi mbaya ktk utawala wa Jpm.

..kosa lingine la Mama ni kutokukomesha na kuendeleza utekaji uliashamiri toka awamu ya Jpm.

..Mama badala ya kukomesha utekaji yeye akaukumbatia na kuufanya wake.

..makosa yote hayo aliyofanya Mama ndio yamesababisha tufike hapa tulipo kama nchi.
Huyo unayemwita "mama" ni dhahiri kabisa hayo yote uliyo yataja kuwa "angeyafanya" siyo mtu mwenye sifa ya kuyafanya; yalikuwa ni maigizo, hadaa tokea mwanzo.

Ilipozidi kuwa bayana kwamba uigizaji wake umegundulika; ndipo tabia yake halisi, tabia ya kufanya maovu ikajitokeza waziwazi.

Sasa kila mTanzania anajuwa tabia halisi ya Samia Suluhu Hassan; ni mwovu mkubwa kumshinda hata mtangulizi wake.
 
Sijui kahaidiwa ukuu wa wilaya gani YarabišŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚yeye na mwashambwa tofauti hakuna
Sasa ukuu wa wilaya nacho cheo cha kujifyatua akili kiasi hiki? 😹😹

Hapo kapewa baiskeli ya mitano tena ndo inamfanya km kapoteza kumbukumbu..!!
 
Leo nimeangalia clip ya mtoto wa kiume….mvulana tu ambaye sidhani hata umri wa miaka 10 yule.

Kapigwa risasi ya tumbo. Utumbo wote uko nje na kwa muonekano ndo alikuwa anapumua pumzi zake za mwisho.

Aisee jamaa ni makatili. Yule mtoto hana kosa kabisa aisee lakini wamemuua.

Polepole watakuwa washamyeyusha kwenye ma tindikali huko.

Halafu watu bado wanamtegemea Kapteni Tesha šŸ˜€.
Kwa unayoyaongea na emoji za vicheko vinamaanisha nini

Unafurahia sana hivyo vifo or unahisi raha kukejeli watu waliofariki ama Captain Tesha ambaye at least amefanya kitu ambacho wewe pamoja na kuwa upo USA, HUWEZI KUFANYA

Imagine mtu muoga unamfundisha mjeshi aliyejiripua mbinu nzuri za kuwa jasiri ?... Ina make sense kweli?

Kama wewe ni smart sana ni rahisi kujua kuwa Tesha amekuwa kama alama ya ukombozi wa wengi ambapo kwa mamlaka ni uhaini mkubwa. Kwa hiyo yawezekana asiwe na huo umuhimu unaousema only if upo sure.

Lakini Tesha amechangia pakubwa kuwapa imani waandamanaji kutoka ndio maana leo hii umeacha kukejeli watu, unamkejeli yeye lakini ni nani atakuwa kwenye historia ya uchaguzi wa mwaka huu.. NI YEYE na SI WEWE mkosoaji wake šŸ™šŸ½šŸ™šŸ½šŸ™šŸ½
 
Kwamba jeshi liko upande wenu mkijtokeza saa mbili tu Asubuhi mnaichukua nchi, kilichowakuta hamtasahau saa hiyo Mange anakula pizza we umejificha kwenye box la biskuti

Nyumbu kweli nyie
So ulisema huwezi side na watanzania kwa sababu hawatotoka. Leo wametoka bado unawapiga spana

Nilikuambia tu huwezi kuwa busy vile pasipo kuwa na affiliation ya hayo unayoyapigania. So endelea
 
Sasa ukuu wa wilaya nacho cheo cha kujifyatua akili kiasi hiki? 😹😹

Hapo kapewa baiskeli ya mitano tena ndo inamfanya km kapoteza kumbukumbu..!!
Angekua mwanamke ningemuelewa, ila mwanaume aiseeešŸ™Œ
Aah tumekwisha aiseeee, hapo akipewa kaviete si anachora tattoo ya boss wake mwili mzima
 
Kwa unayoyaongea na emoji za vicheko vinamaanisha nini

Unafurahia sana hivyo vifo or unahisi raha kukejeli watu waliofariki ama Captain Tesha ambaye at least amefanya kitu ambacho wewe pamoja na kuwa upo USA, HUWEZI KUFANYA

Imagine mtu muoga unamfundisha mjeshi aliyejiripua mbinu nzuri za kuwa jasiri ?... Ina make sense kweli?

Kama wewe ni smart sana ni rahisi kujua kuwa Tesha amekuwa kama alama ya ukombozi wa wengi ambapo kwa mamlaka ni uhaini mkubwa. Kwa hiyo yawezekana asiwe na huo umuhimu unaousema only if upo sure.

Lakini Tesha amechangia pakubwa kuwapa imani waandamanaji kutoka ndio maana leo hii umeacha kukejeli watu, unamkejeli yeye lakini ni nani atakuwa kwenye historia ya uchaguzi wa mwaka huu.. NI YEYE na SI WEWE mkosoaji wake šŸ™šŸ½šŸ™šŸ½šŸ™šŸ½
Tesha hajafanya lolote la maana.

Acheni kushobokea upumbavu.
 
Tesha hajafanya lolote la maana.

Acheni kushobokea upumbavu.
Na wewe umefanya lipi la maana kwa nchi yako

Kwa nini watu huwa mnakosoa sana wengine pasipo kutoa mchango wowote kwa hayo mnayoyaona ni bora.

Pia, mimi sio fan wa Tesha au political figure ama chama chochote ila naangalia zaidi nchi kama nchi.

So wewe kama unaona Tesha karana upumbavu, wewe binafsi umefanya nini
 
Kwenye sentens ya mwisho ya kwa sasa tusimtegemee mtu tupambane wenyewe hapo kamaanisha tesha na dokta shika tofaut yao ni vitengo tu huyu tapel jeshin huyu mission town ofisj mguu
 
Na wewe umefanya lipi la maana kwa nchi yako

Kwa nini watu huwa mnakosoa sana wengine pasipo kutoa mchango wowote kwa hayo mnayoyaona ni bora.

Pia, mimi sio fan wa Tesha au political figure ama chama chochote ila naangalia zaidi nchi kama nchi.

So wewe kama unaona Tesha karana upumbavu, wewe binafsi umefanya nini
Mimi ni mlipa kodi mzuri tu kwa TRA.

Nimetoa na bado naendelea kutoa misaada ya kunyanyua watu.

Na mambo mengine mengi tu ambayo sihitaji kukutajia.

Wewe endelea kumsubiri huyo Tesha wako.

Sisi wengine hatusuburi mtu. Tunafanya wenyewe.
 
Mkuu umeandika ukweli kabisa. Ila ulevi wa madaraka umewapofusha. Na mbaya zaidi ni kuwa elimu yao ni ndogo hivyo upeo wa kuona mambo kwa kina ni sifuri. Madaraka kwenye mikono ya wapumbavu ni hatari sana.
Bila shaka watakuwa wakaanza kujitafakari, labda maana Pesa ina utamu wake tofauti, so inahitaji busara na maadili kujidhibiti.
 
Back
Top Bottom