Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Nimechafukwa haswaa!!
Huyu kabla ya maandamano alikuwa kimbele mbele front kukejeli waziwazi..!!

Huyu angekuwa karibu ningemzabua kelbu, babu wa hovyo sana..!!

Vipi udugu wangu mzima?
Ulipona majanga ya risasi?
Dar ilikuwa km Darful dadeq.
Unafurahia kwa sababu uko hai, waliotangualia na wenye majeraha wanajuta. Mnachochea halafu mnajificha, maskini na wasio na hatia ndio wanaumia.
 
Mimi ni mlipa kodi mzuri tu kwa TRA.

Nimetoa na bado naendelea kutoa misaada ya kunyanyua watu.

Na mambo mengine mengi tu ambayo sihitaji kukutajia.

Wewe endelea kumsubiri huyo Tesha wako.

Sisi wengine hatusuburi mtu. Tunafanya wenyewe.
Shida yenu ni moja. Kuwaweka watu katika magroup kutokana na imani mnayojijengea.

Naweza kumsifia Tesha leo na kesho nikampinga kama navyoweza kufanya kwa mtu yoyote yule. Sipo katika box lolote, mimi ni mtanzania tu

Kingine hongera kwa kufanya unayofanya lakini haimaanishi unayafanya peke yako. Kila mtu anafanya kwa kadri anavyoweza lakini haimpi mandate ya kudarata au kudogosha jitihada za wengine.
 
Maoni yangu ni maoni yangu.

Kama huyapendi, yaruke. Usiyasome.

Zaidi ya kuwapa matumaini hewa kwenye YouTube au sijui mtandao gani aliotumia kujirekodi, huyo Kapteni Tesha hajawa msaada kwa yeyote yule.

Watu wamechinjwa. Watoto wadogo kabisa.

Useless and worthless captain.

That’s my story and I’m sticking to it.

And there’s nothing you can do about it.
 
bado its til too early, yanaweza kuwekeka sawa. tukishafika huko kwenye vuruga hasa tutakua tunachinjana kama kuku, na hayataishia CCM na CHADEMA tu, yatakuja waislamu wakirsto, mara utaskia m23, ADC na wao washaingia. hizo kina Sudan, Iraq na wengine zilianza kama hivi kimasihara tu.
Kwa wale wenye ndugu zao waliotekwa na kupotezwa unafikiri watajali tena hayo ya kuwa kama Sudan? Sasa hivi wameongezeka maelfu ya waliopoteza ndugu zao kwa kuuliwa, unafikiri watajali tena kuwa kama Sudan?
 
Mungu wewe ni muweza wa yote,wale wenye mioyo migumu kaguse mioyo Yao tunaitaj aman Mungu ,Kwa jina la Yesu damu yake ilitosha pale msalaban ,kafara zote ziligongomewa pale msalaban damu Yako inatosha Bwana Yesu ,damu inanena mema
AMEN
 
Maoni yangu ni maoni yangu.

Kama huyapendi, yaruke. Usiyasome.

Zaidi ya kuwapa matumaini hewa kwenye YouTube au sijui mtandao gani aliotumia kujirekodi, huyo Kapteni Tesha hajawa msaada kwa yeyote yule.

Watu wamechinjwa. Watoto wadogo kabisa.

Useless and worthless captain.

That’s my story and I’m sticking to it.

And there’s nothing you can do about it.

👏🏾👏🏾👏🏾
 
Kwa wale wenye ndugu zao waliotekwa na kupotezwa unafikiri watajali tena hayo ya kuwa kama Sudan? Sasa hivi wameongezeka maelfu ya waliopoteza ndugu zao kwa kuuliwa, unafikiri watajali tena kuwa kama Sudan?

mkuu kwahiyo kama ndugu yako ameuliwa ndio nawewe ujipeleke ukauliwe? tuachi kuwa emotional kupitiliza.
 
Unasikitisha sana.

Kwa hiyo wewe unayaona haya mauaji yaliyofanyika sasa kuwa" kama ni mchezo wa kuigiza", bado huamini kabisa kuwa waTanzania wengi wameuawa tena kikatili sana bila ya sababu yoyote?

Unataka iweje, ndipo uelewe kwamba hali ni mbaya sana hapa nchini. Tueleze wewe, unataka waTanzania tufanye nini kuiondoa hali hii?

Hali mbaya iko Sudan, Iraq, Libya, Congo. Chad, Huko watu wanachinjana kama kuku. na mkiendelea na mihemko yenu huko ndiko tunakoelekea.
 
CCM ndo inataka Nchi iingie vita vya wenyewe kwa wenyewe, yaani hawako tayari kufanya kile wananchi wanataka, wapo tayari hata kuuwa watu ili mradi wasitoke madarakani. Hata maandamano MO29 yasingetokea kama wangesikiliza maoni ya watu.

Watu wametoa maoni yao ili kuleta amani na kuepusha machafuko, ila wao wakachagua ubabe kwasababu wana bunduki wakaamua kuuwa watu. Kwa hiki cha kuuwa watu CCM wamepandikiza mbegu mbaya sana kwa watanzania. Angalia video zinazotembea mtandaoni, hivi unategemea yule mtoto ambaye alikuwa anatambaa katika damu ya mama yake aliyeuliwa tena akiwa nyumbani, akiwa mtu mzima atakuwa mtu wa aina gani???

Liberia, Sierra Leone na nchi nyingine zote zilizopigana vita au zinazoendelea kupigana nazo ni sawa na sisi tu. Tusijidanganye hayawezi kutokea, kila mtu anasehemu ya uchizi ukivuka limit ya uvumilivu wake. CCM inatulazimisha tuingie katika machafuko.

Unazuia watu kuchagua viongozi wanaowataka, wakilalamika unawateka na kuwauwa. Chama kilikuwa cha ujamaa huko nyuma lakini sasa hivi ni cha kibepari tofauti ya viongozi na wananchi ni mbingu na ardhi, watoto wa viongozi wanachezea madola na maferrari, huku unawazuia watu ku practice demokrasia ili uendelee kuwatawala tena kwa mabavu ya hali ya juu. Hivi unategemea jamii ya hivi itakuwa katika hali gani? Huoni kuwa unawapush beyond to their limit???

CCM hii nchi ni yetu sote tukiivuruga hata nyinyi mtaathirika pamoja na ndugu zenu au hamna ndugu?? Mnataka tuwe kama Somalia??? Acheni tamaa ya madaraka haya yote ni ya muda mfupi hamtaondoka nayo, wapeni raia Katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi wanayoitaka ili tupate AMANI. Kwani nyinyi mnaogopa nini hata kama hamtakuwa viongozi??? Mbona sisi tunaishi vizuri tu na sio viongozi???

SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, KWANINI CCM HAMTAKI SAUTI YA MUNGU?? MNATAFUTA LAANA!!
 
Hali mbaya iko Sudan, Iraq, Libya, Congo. Chad, Huko watu wanachinjana kama kuku. na mkiendelea na mihemko yenu huko ndiko tunakoelekea.
Wewe ni mpumbavu. Hawa wanaouliwa hapa ni nguruwe?
 
Unafurahia kwa sababu uko hai, waliotangualia na wenye majeraha wanajuta. Mnachochea halafu mnajificha, maskini na wasio na hatia ndio wanaumia.
Wapi umeona nimefurahi?
Em kaanike mkundruu juani ukauke urudishe marinda..!! PUMBAVU
 
Kipindi anabeza sana kuhusu maandamano niliwahi kusema watu wa aina yake ni watu wa ajabu sana, haeleweki yupo upande gani.

Kuna muda anasimama na watz na kuna muda naona kabisa anafurahia hali ilivyo.
Huyo haeleweki yupo km kinyonga, ni mwashamba wa bei za jioni..!!

Alikuwa anaandika nyuzi nzuri zamani sasa hivi yupo km mtu mwenye bipolar
 
Mimi nampinga mama na CCM lakini huyu dada sometimes anasema uongo wa wazi wazi. Kwa mfano aliposema wanajeshi wa Uganda wapo bukoba na museveni anataka kupewa bukoba. Na sasa kusema Tesha yupo nje ya nchi wakati mi sources zangu zimenipa taarifa kuwa Tesha yupo Dom na polepole wameshamuua.
Mafwele alisema tesha kakimbia nchi
 
Back
Top Bottom