Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kwa nini warumi hamkibali Mange?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mkuu..sio buree!
Mange hanaga rafiki wa kudumu, hata 2015 alikuwa supporter mzuri wa CCM, mwanachama mzuri tuu, ila mda huu kawachenjia ndicho alichowafanyia marafiki zake wengi kama Mwamvita Makamba and the like, ashawahi kumchamba mtu mpaka akajiua [emoji38] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Japo anawafuasi 1 m mpaka sasa kwenye akaunti yake ya instagram lakini inawezekaaa nusu na robo ya watu waliojiunga isntagram tz huwa wanangalia kile anachokipost kila siku,kuona alichokipost siyo lazima uwe umemfollow ,
Tumezowea mtu awe maarufu lazima anfanye jambo kama muziki ,filamu nk lakini kwa yeye anachokiandika insta tu ndo kimempa huo umaarufu,kwenye nyimbo anaibwa magazeti yanamuandika yaani ni balala tupu .
Lakini nakubali siyo yote anayoyaandika yanaukweli ndani yake mengine anayaandika kwa sababu ya mahaba yake kwa jambo fulani japokuwa mengi anayoyaandika huwa na ukweli.
Yeye ndiye aliibuwa kwa mara ya kwanza sakata la mkuu wa mkoa kuhusu vyeti mpaka likawa gumzo nchini,kifupi amekuwa mtu ambaye yale mambo ya hatari hatari watu wanamtumia yeye ili ayaseme,kama kuna watu wanajipa matumaini kuwa kunasiku atarudishwa nchini na serikali ya marekani sahauni kuhusu hilo mareakani haiwezi kumrudisha kwenye nchi mtu ambaye inajuwa kabisa anaenda kufugwa,kumbukeni yaliyotokea uturuki aliyepanga mapinduzi mareakani imekataa kumrudisha kama serikali ya huko inavyotaka japo inalaani mapinduzi hayo.
Swali ambalo najiuliza siku upinzani ukichukua dola ataacha kuwakosoa au atahamia upande wa upinzani wa wakati huo aendelee kuwakosoa tena.
Najuwa wapo watajitokeza kukanusha uzi huu lakini iulize nafsi yako ni kweli wewe huwa huangalii anachokiandika kwenye page yake au huwa husomi mambo yake kwenye page nyingine ambazo zinamtumia yeye kama chanzo cha taalifa zao.
Ukipata jibu ndilo likuongoze kukosowa unafki hautakiwi kwenye ukweli.
Hongera sana ndugu na wewe umetumia haki yako ya kikatiba, UMEANDIKA NA KUPOST!Japo anawafuasi 1 m mpaka sasa kwenye akaunti yake ya instagram lakini inawezekaaa nusu na robo ya watu waliojiunga isntagram tz huwa wanangalia kile anachokipost kila siku,kuona alichokipost siyo lazima uwe umemfollow ,
Tumezowea mtu awe maarufu lazima anfanye jambo kama muziki ,filamu nk lakini kwa yeye anachokiandika insta tu ndo kimempa huo umaarufu,kwenye nyimbo anaibwa magazeti yanamuandika yaani ni balala tupu .
Lakini nakubali siyo yote anayoyaandika yanaukweli ndani yake mengine anayaandika kwa sababu ya mahaba yake kwa jambo fulani japokuwa mengi anayoyaandika huwa na ukweli.
Yeye ndiye aliibuwa kwa mara ya kwanza sakata la mkuu wa mkoa kuhusu vyeti mpaka likawa gumzo nchini,kifupi amekuwa mtu ambaye yale mambo ya hatari hatari watu wanamtumia yeye ili ayaseme,kama kuna watu wanajipa matumaini kuwa kunasiku atarudishwa nchini na serikali ya marekani sahauni kuhusu hilo mareakani haiwezi kumrudisha kwenye nchi mtu ambaye inajuwa kabisa anaenda kufugwa,kumbukeni yaliyotokea uturuki aliyepanga mapinduzi mareakani imekataa kumrudisha kama serikali ya huko inavyotaka japo inalaani mapinduzi hayo.
Swali ambalo najiuliza siku upinzani ukichukua dola ataacha kuwakosoa au atahamia upande wa upinzani wa wakati huo aendelee kuwakosoa tena.
Najuwa wapo watajitokeza kukanusha uzi huu lakini iulize nafsi yako ni kweli wewe huwa huangalii anachokiandika kwenye page yake au huwa husomi mambo yake kwenye page nyingine ambazo zinamtumia yeye kama chanzo cha taalifa zao.
Ukipata jibu ndilo likuongoze kukosowa unafki hautakiwi kwenye ukweli.
hahahahahaahaha, umenichekesha kopites hahahahahaahDaaaah,yan mim ndio nimetoka kuchungulia kwa mange saiv,yaani ni kama taarifa ya habari vile,tupate habari za nchi
Habari za siri kunawatu wanajukumu la kuzitunza sasa hao hao nao washachoka ndo wanaamua kumtumia aitowe.Huwa anaongea mambo yenye ukweli sometimes mpaka unaogopa huyu binti hizi habari anazipateje wakati ni confidential.
Sio mchezo,huyu mwanadada anajulikana mpk mitaani,siku hizi hatufungui tv kuangalia habari,tunaingia kwa mange tu,tunajua habari za nchi.hahahahahaahaha, umenichekesha kopites hahahahahaah
Huyu mdada mpotoshaji sanah,, akae huko huko US hatumhitaji Tanzania,, just kufwata mambo kwa ushabiki ni shida sanah,, na huyu mdada ni a living proof kuwa watatnzania tuna ushabiki wa vitu vya ajabu sanah wakati mwingineJapo anawafuasi 1 m mpaka sasa kwenye akaunti yake ya instagram lakini inawezekaaa nusu na robo ya watu waliojiunga isntagram tz huwa wanangalia kile anachokipost kila siku,kuona alichokipost siyo lazima uwe umemfollow ,