Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Sijawah pita kwa page ya yule mdada baada ya kuona ni kiasi gani ni kigeu geu na mpotoshati,, nakupa muda utaacha pia
Ulionaje kuwa ni mpotoshaji nakigeugeu kama hujapitia na kuangali hebu kuwa basi ,uongee kam mtu anayetumia akili kuandika,narudia acha kuidhulumu nafsi yako kwa kutuambia kuwa humfuatalii huku moyo unakusuta
 
Mbona UNALAZIMISHA watu waseme vile unavyotaka wewe ..... Huyo Mange ni kioo chako wewe sio kwa wote,sasa usitake kuona watu wote tuko sawa kifikra.
Kipi anachokisema Mange ni sahihi,au alivyosema Lowasa "kajinyea" ulimuona alipojinyea ???
Au aliposema makamu wa rais Samia Suluhu anataka kujiudhuru,vipi kajiudhuru ???
Au anavyomshauri Wema atafute mabwana wenye hela ndicho unachokiona cha maana ??
Au anakufurahisha kwa vile kila "adui" wa Wema ni "adui" yake yeye, na kila anachokipenda au kukifuata wema ndicho anachokifuata yeye na kukifurahia ??

Unaweza kutuwekea kitu ambacho kakisema huyo "mange wako" ambacho ni cha kweli na kuwa aliweka na udhibitisho wa alichokisema ???

ACHA KULAZIMISHA UPUMBAVU NA UJINGA WAKO WEWE,UWE NI WA WOTE. KAMA MANGE ANAKUFURAHISHA,BASI UJUE SISI WENGINE ANAONGEA UPUUZI WA KIWANGO CHA LAMI.
 
Unapoona mtu anakuwa mkali kujibu hoja ujuwe ukweli umemchoma achana na hayo mabo ya uthibitisho kilichofanya tukuulize maswali ni kitendo cha wewe kusema huyo ni mchochezi na mchonganishi swali rahisi tu ambalo umeulizwa ulijuwaje kama anafanya hayo yote kama husomi anachoandika sasa badala ya kujibu hilo swali umeanza mambo mengineeeee.
 
mange kaeka account private sasa vingine tunashindwa kuchungulia ubuyu aisee
 
mshaurini aiweke account public kwa mana wadau tupo wengi japo hatuna account instagram
 
Yaani mimi nimeanza Kumfaham hapa juzi kwenye sakata la MADAWA ya kulevya... Nimeanzia Tangagiza ndipo nikaelekezwa huko.
 
Mange hanaga rafiki wa kudumu, hata 2015 alikuwa supporter mzuri wa CCM, mwanachama mzuri tuu, ila mda huu kawachenjia ndicho alichowafanyia marafiki zake wengi kama Mwamvita Makamba and the like, ashawahi kumchamba mtu mpaka akajiua [emoji38] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Naomba nikuweke sawa Mange ni mwanamke asiye penda ujinga hata kama rafiki,familia yake,baba wa watoto wake au mtu yoyote mwenye ukaribu naye akikosea huwa hafichi anakuchana tu ili ujirekebishe na kuhusu ishu ya ccm ni kweli aliwapigia sana kampeni lakini huu utawala ulivyo anza kuvulunda hakusita kuwachana na bado anaendelea kuwachana.
 
Huyu mdada mpotoshaji sanah,, akae huko huko US hatumhitaji Tanzania,, just kufwata mambo kwa ushabiki ni shida sanah,, na huyu mdada ni a living proof kuwa watatnzania tuna ushabiki wa vitu vya ajabu sanah wakati mwingine

.....vyeti vya bashite je?
 
Japo anawafuasi 1 m mpaka sasa kwenye akaunti yake ya instagram lakini inawezekaaa nusu na robo ya watu waliojiunga isntagram tz huwa wanangalia kile anachokipost kila siku,kuona alichokipost siyo lazima uwe umemfollow ,

Tumezowea mtu awe maarufu lazima anfanye jambo kama muziki ,filamu nk lakini kwa yeye anachokiandika insta tu ndo kimempa huo umaarufu,kwenye nyimbo anaibwa magazeti yanamuandika yaani ni balala tupu .

Lakini nakubali siyo yote anayoyaandika yanaukweli ndani yake mengine anayaandika kwa sababu ya mahaba yake kwa jambo fulani japokuwa mengi anayoyaandika huwa na ukweli.

Yeye ndiye aliibuwa kwa mara ya kwanza sakata la mkuu wa mkoa kuhusu vyeti mpaka likawa gumzo nchini,kifupi amekuwa mtu ambaye yale mambo ya hatari hatari watu wanamtumia yeye ili ayaseme,kama kuna watu wanajipa matumaini kuwa kunasiku atarudishwa nchini na serikali ya marekani sahauni kuhusu hilo mareakani haiwezi kumrudisha kwenye nchi mtu ambaye inajuwa kabisa anaenda kufugwa,kumbukeni yaliyotokea uturuki aliyepanga mapinduzi mareakani imekataa kumrudisha kama serikali ya huko inavyotaka japo inalaani mapinduzi hayo.

Swali ambalo najiuliza siku upinzani ukichukua dola ataacha kuwakosoa au atahamia upande wa upinzani wa wakati huo aendelee kuwakosoa tena.

Najuwa wapo watajitokeza kukanusha uzi huu lakini iulize nafsi yako ni kweli wewe huwa huangalii anachokiandika kwenye page yake au huwa husomi mambo yake kwenye page nyingine ambazo zinamtumia yeye kama chanzo cha taalifa zao.

Ukipata jibu ndilo likuongoze kukosowa unafki hautakiwi kwenye ukweli.
Mleta mada hebu pandisha na haka kapicha
Screenshot_2017-04-17-12-06-04.png
 
Unapoona mtu anakuwa mkali kujibu hoja ujuwe ukweli umemchoma achana na hayo mabo ya uthibitisho kilichofanya tukuulize maswali ni kitendo cha wewe kusema huyo ni mchochezi na mchonganishi swali rahisi tu ambalo umeulizwa ulijuwaje kama anafanya hayo yote kama husomi anachoandika sasa badala ya kujibu hilo swali umeanza mambo mengineeeee.
HAUKUWA unaongea na mimi,ila mimi nimeku quote kwa vile unaonekana kutaka watu waongee vile unavyotaka wewe,kwahiyo mimi ni mwingine kabisa na ninataka ujibu hoja zangu nilizokupa hapo juu na sio blah za kujifanya hujui ulikuwa unajibishana na nani ???
 
Ushahidi wa kwanza huu hapa kuwa waziri wako wa ulinzi ni mfuasi wa post za mange tulia nakuletea mwingine soon
tapatalk_1491916791114.png
 
Back
Top Bottom