ha ha haaaaaaaaa...Ipi siku akimaliza akarudi BONGO alafu ukakutana naye anakutibu sijui utafanya nini.
Unajua Jesca yuko wapi?
Mange muongo muongo kuna muda informer wake wanamjaza uongo, sema ndiyo hivyo akishasema watu wanaamini.Yaani mama mtu apeleke mtu ilimradi aende tu kuishi huko...nahisi Mange anataka tu kuongeza followers/views sio vizuri hivyo unavyofanya mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mange ana followers milioni 5.
Mimi kwenye page yangu ya kufundisha watu ufugaji wa nguruwe nina followers 27.
Bongo nyoso.
Ila neno kunguru ni sawa na kuanzisha vita, Mange hapigiwi anacheza, pakavu anateleza.
Medicine ya nyoko 😂😂😂Tuko naye hapa anasomea Degree ya Medicine!
Labda degree ya kitimoto...... OvaTuko naye hapa anasomea Degree ya Medicine!
[emoji23][emoji23]Mange ana followers milioni 5.
Mimi kwenye page yangu ya kufundisha watu ufugaji wa nguruwe nina followers 27.
Bongo nyoso.
Anataka publicity ili watu wengi waweze kujiunga Mange app .Kwamba amewalipa Kajala na Mwanaye ili awachafue?
UmemuambukizaARV zimepata walaji wapya huko Uturuk.
Nimetoka kuisoma muda si mrefu nimebakia mdomo waziDaah mange noma, Kuna ishu ya water-zo, B kumi na mbili na andunje ni nomaz[emoji119][emoji119]
Yaaan ni noma!Nimetoka kuisoma muda si mrefu nimebakia mdomo wazi
Mtu unafikiri umepata kumbe umepatikana. Huyo ma-water alikuwa too good to be trueYaaan ni noma!
Kama ni kweli hizi ndoa hizi[emoji848][emoji848]
Kwenye msiba wa jasiri muongoza njia walikuwa wanakumbatiana kabisa![emoji848]Mtu unafikiri umepata kumbe umepatikana. Huyo ma-water alikuwa too good to be true
Kumbe wameanza muda? Mie sikuwahi kuwaza hataKwenye msiba wa jasiri muongoza njia walikuwa wanakumbatiana kabisa![emoji848]
Pale ndo nilianza kuweka question mark!
Ndo maana kustuli hanaga raha kabisa mweeh!
Kitambo sana dear...mpaka kuna uzi humu kuwahusu[emoji848]Kumbe wameanza muda? Mie sikuwahi kuwaza hata
Ila tu jamaa huo uinnocent wake ulikuwaga unanipa mashaka kiaina
Hapo bibie inabidi ajifanye haoni tu
Nchi ngumu sana hii