Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
So, ndio kusemaje Wille katika hao maarufu na wewe umo au unajifanya ni maarufu? Na nini hasa umaarufu wako jina la Faza ndio unamo ogelea humo?,unajua sana kujidanganya na unapenda kudanganywa, na kama utoto nao ni kigezo cha mtu kuwa maarufu vizuri hongera.LEMUTUZ AMPONDA MANGE NAKUSEMA HUWAFUATA WATU MAARUFU TU.
Kiboko yake Mange ambaye naye ukicomment kinyume na anavyotaka yy unakula solex? Hawa walifaa kuoana tuHuyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
Ameishi majuu, anaexposure, anaishi maisha yake, anashangaa wanaomfuatilia na wakati huo huo anajisifu ana fans wengi. Sasa sijui fans wafuatilie nini?View attachment 383731
Mkuu huyo jamaa chenga sana huwa sipati picha angekuwa na uwezo kama wakina mengi mbona ingekuwa shida sana town maana anambwembwe balaa!
View attachment 383731
Badilika kaka.. Ni vema mawazo yako yakaendana na umbile lako.
.
Badilika kaka.. Ni vema mawazo yako yakaendana na umbile lako.
Ukiona mtu in his late 50s na kaishi abroad for 30 years huku anajisifia kuwa anajenga nyumba ya kuishi yeye mwenyewe then tambua hapo kuna shida kubwa.Unapaswa kumhurumia kwani ile methali ya asiyefunzwa na mamaye huwa inaanza kutekelezeka kwa ulimwengu kuchukua nafasi yake.He is a frustrated fella ulimwengu unampiga kwa sasa.
Ameishi majuu, anaexposure, anaishi maisha yake, anashangaa wanaomfuatilia na wakati huo huo anajisifu ana fans wengi. Sasa sijui fans wafuatilie nini?