Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
LEMUTUZ AMPONDA MANGE NAKUSEMA HUWAFUATA WATU MAARUFU TU.

So, ndio kusemaje Wille katika hao maarufu na wewe umo au unajifanya ni maarufu? Na nini hasa umaarufu wako jina la Faza ndio unamo ogelea humo?,unajua sana kujidanganya na unapenda kudanganywa, na kama utoto nao ni kigezo cha mtu kuwa maarufu vizuri hongera.
 
Nimekusoma mara kadhaa kwenye instagram jinsi unavyowadanganya fans wako nikagundua most of your followers are damn Mburuluzzzz..
Hakuna kitu utakachokiweka kwenye page yako hata kama ni upuuzi uliotukuka na ulio dhahiri wakaacha kukushabikia...!!

Mfano kuna siku ulisema 99.9% ya wanaume na wanawake walio kwenye mahusiano huwa pia wanacheat wapenzi au wenza wao.. Na ukasema that's is a FACT!!

Mimi nilitegemea pale baada ya kusema kwamba that's a FACT ungekuja na analysis au kama ni research iliyofanyika kuonyesha kweli that mentioned percent kweli huwa wanawacheat wenza wao lakini bla..bla.. bla.. Na comments zote Zilizofuata za followers wako zilikuwa za kusupport.

Badilika kaka.. Ni vema mawazo yako yakaendana na umbile lako.
 
Huyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
 
Huyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
Kiboko yake Mange ambaye naye ukicomment kinyume na anavyotaka yy unakula solex? Hawa walifaa kuoana tu
 
1471508977965.jpg

Mkuu huyo jamaa chenga sana huwa sipati picha angekuwa na uwezo kama wakina mengi mbona ingekuwa shida sana town maana anambwembwe balaa!
 
Mm hata simwelewagi aisee
Wale fans wake nao n chenga tupu
 
Ukiona mtu in his late 50s na kaishi abroad for 30 years huku anajisifia kuwa anajenga nyumba ya kuishi yeye mwenyewe then tambua hapo kuna shida kubwa.Unapaswa kumhurumia kwani ile methali ya asiyefunzwa na mamaye huwa inaanza kutekelezeka kwa ulimwengu kuchukua nafasi yake.He is a frustrated fella ulimwengu unampiga kwa sasa.
 
Nakubalina na wewe 100%..
Mtu upo above 50yrs unatangaza unalipa kodi ya nyumba in public ni upuuzi wa hali ya juu... Sijui nalipa mishahara Wafanyakazi wa 4.. Damn!!
Kwa umri wako umechelewa sana Bro..
Umri huo ndio unakimbizana na matofali site na unajitangaza!!?? Shame!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom