Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Hili swali hata ukiwauliza wenyewe sijui kama jibu wanalo.
 
Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......yani akimtekenya Mange tu anakojowa!!
Mange hana mpinzani hao wanaotumia fake page hawana jipya ukitaka kucheza mziki wa mange usitumie fake page wakina lemutuz wamesanda wameanza kutengeneza vipage fake ving kumshambulia lakini bado wanamshindwa.
 
Mange hana mpinzani hao wanaotumia fake page hawana jipya ukitaka kucheza mziki wa mange usitumie fake page wakina lemutuz wamesanda wameanza kutengeneza vipage fake ving kumshambulia lakini bado wanamshindwa.

Haahaaaa nimecheka, eti hana mpinzani, japo simjui,ila kiboko yake kichwa panzi,sema usikike!

Mpk kakubali yote aliyokua anakataa!
 
Wangetumia page zao OG ningekubali kwamba wao kiboko sasa wanajificha na fake page hii inaonyesha wanamuogopa!
Wao wana akili sasa mange anakua mgeni wa nani loh kutumia original sio ujanja ni ujinga ndo mana jf twatumia fake ids tu kina kichwa wamemunyoosha had sehemu anayoishi bora hata nyumbani zilizobomolewa hapa Dar.
 
Wao wana akili sasa mange anakua mgeni wa nani loh kutumia original sio ujanja ni ujinga ndo mana jf twatumia fake ids tu kina kichwa wamemunyoosha had sehemu anayoishi bora hata nyumbani zilizobomolewa hapa Dar.
Unajuwa watu wengine chafya kwelikweli, ukimuuliza sababu za yeye kutumia fake ID hapa JF sidhani kama atakupa jibu la kueleweka.
 
stress za kuachwa zinwasmbua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa umbeya hauna jinsia dida kachabwa wapi huko
Unajuwa sina access ya kujichanganya sana na watu wa ajabu ajabu, sasa hizi network zinasaidia ukipita kimyakimya kuna kitu unakuwa unaelewa kinachoendelea.

Mfano Le Mutuz kapiga picha na Ridhiwani, mwenzake ana kahawa yeye Le Mutuz hana kitu mezani, Mange kwa kuwa ni mtaalamu wa hii idara akaandika hili baba lilimkuta Ridhiwani hotelini yuko na mambo yake lenyewe likajipeleka ili wapige picha then kwenye Insta yake linajishauwa alikuwa na meeting na Ridhiwani. Kitu ambacho ukiangalia kwa makini ile picha Mange yupo sahihi.

Mimi nimemchukia Mange kwa kupenda shari na kila mtu na mwisho wa siku amejikuta hana backup.

Angekuwa mjanja Mange kwenye huu mchezo angekuwa anawapa respect baadhi ya watu kwakweli angenoga maana mpare huyu hana kipaji cha kumchambuwa mtu.
 
wanachama wa ccm waliotoswa kwenye vyeo vipya vya rais!!
Nadhani hii ndo sababu haswaa ya yule Mange kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali,alitegemea walau ubunge viti maalum ili akirudi huku soo la mzungu lipoe
 
Yeye na lemutuz kweli wanawezana na show off tatizo late mange ndumilakuwili hatabiriki mambo yake bora mwanzo yeye alikua udaku na support alipata, sasa alivoanza kuchafua watu kwa chuki zake last year ilikua campaign alizidi matusi na uzalilishaji, kapiga kampeni wewee Leo anawananga. Otherwise isingekuwa undumilakuwili angekua mbali sasa watu wanamuona chizi.
 
Sasa kama huyo mange ni chiz kwanin kila siku mnaleta mada mpya juu yake mara mkafungue page fake kumshambulia huyo mnaemwita chiz hamuon kama munapoteza muda tu!
 
Kiukweli Jana nilisikiliza clouds FM,mmoja wao alikuwa on air,anatema pumba zake,ni utoto unawasumbua,na vihela hela vya sijui urithi vinawatesa sana,Jpm hebu tutumbulie hawa viumbe media zipumue aisee khaa,utumbo si utumboo, yn shidaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…