Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
wanachama wa ccm waliotoswa kwenye vyeo vipya vya rais!!ndo kina nani hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanachama wa ccm waliotoswa kwenye vyeo vipya vya rais!!ndo kina nani hao
Mange hana mpinzani hao wanaotumia fake page hawana jipya ukitaka kucheza mziki wa mange usitumie fake page wakina lemutuz wamesanda wameanza kutengeneza vipage fake ving kumshambulia lakini bado wanamshindwa.Mange ameshampata kiboko yake huko Insta anaitwa kichwapanziiii......yani akimtekenya Mange tu anakojowa!!
Mange hana mpinzani hao wanaotumia fake page hawana jipya ukitaka kucheza mziki wa mange usitumie fake page wakina lemutuz wamesanda wameanza kutengeneza vipage fake ving kumshambulia lakini bado wanamshindwa.
Wangetumia page zao OG ningekubali kwamba wao kiboko sasa wanajificha na fake page hii inaonyesha wanamuogopa!Haahaaaa nimecheka, eti hana mpinzani, japo simjui,ila kiboko yake kichwa panzi,sema usikike!
Mpk kakubali yote aliyokua anakataa!
Wao wana akili sasa mange anakua mgeni wa nani loh kutumia original sio ujanja ni ujinga ndo mana jf twatumia fake ids tu kina kichwa wamemunyoosha had sehemu anayoishi bora hata nyumbani zilizobomolewa hapa Dar.Wangetumia page zao OG ningekubali kwamba wao kiboko sasa wanajificha na fake page hii inaonyesha wanamuogopa!
Hahaaaa umbeya hauna jinsia dida kachabwa wapi hukoKUMBE NA WEWE UNAMJUA KICHWAPANZIIIII
MWANAUME WA DAR TUNAGONGANA TU INSTA
NENDA KACHEKE MISUTO KWA DIDA
KUNA MISUTO TU YA USWAZI HUKO WE MFOLLOW UONEHahaaaa umbeya hauna jinsia dida kachabwa wapi huko
Unajuwa watu wengine chafya kwelikweli, ukimuuliza sababu za yeye kutumia fake ID hapa JF sidhani kama atakupa jibu la kueleweka.Wao wana akili sasa mange anakua mgeni wa nani loh kutumia original sio ujanja ni ujinga ndo mana jf twatumia fake ids tu kina kichwa wamemunyoosha had sehemu anayoishi bora hata nyumbani zilizobomolewa hapa Dar.
Unajuwa sina access ya kujichanganya sana na watu wa ajabu ajabu, sasa hizi network zinasaidia ukipita kimyakimya kuna kitu unakuwa unaelewa kinachoendelea.Hahaaaa umbeya hauna jinsia dida kachabwa wapi huko
Mama keanu na babu keanu
Mbn hawajatajwa Kule Dodoma Kwenye mkutano mkuu wa ccm kama maarufu PyuuuuuuuWatu maaruf hao
Nadhani hii ndo sababu haswaa ya yule Mange kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali,alitegemea walau ubunge viti maalum ili akirudi huku soo la mzungu lipoewanachama wa ccm waliotoswa kwenye vyeo vipya vya rais!!
Yeye na lemutuz kweli wanawezana na show off tatizo late mange ndumilakuwili hatabiriki mambo yake bora mwanzo yeye alikua udaku na support alipata, sasa alivoanza kuchafua watu kwa chuki zake last year ilikua campaign alizidi matusi na uzalilishaji, kapiga kampeni wewee Leo anawananga. Otherwise isingekuwa undumilakuwili angekua mbali sasa watu wanamuona chizi.Unajuwa sina access ya kujichanganya sana na watu wa ajabu ajabu, sasa hizi network zinasaidia ukipita kimyakimya kuna kitu unakuwa unaelewa kinachoendelea.
Mfano Le Mutuz kapiga picha na Ridhiwani, mwenzake ana kahawa yeye Le Mutuz hana kitu mezani, Mange kwa kuwa ni mtaalamu wa hii idara akaandika hili baba lilimkuta Ridhiwani hotelini yuko na mambo yake lenyewe likajipeleka ili wapige picha then kwenye Insta yake linajishauwa alikuwa na meeting na Ridhiwani. Kitu ambacho ukiangalia kwa makini ile picha Mange yupo sahihi.
Mimi nimemchukia Mange kwa kupenda shari na kila mtu na mwisho wa siku amejikuta hana backup.
Angekuwa mjanja Mange kwenye huu mchezo angekuwa anawapa respect baadhi ya watu kwakweli angenoga maana mpare huyu hana kipaji cha kumchambuwa mtu.
Sasa kama huyo mange ni chiz kwanin kila siku mnaleta mada mpya juu yake mara mkafungue page fake kumshambulia huyo mnaemwita chiz hamuon kama munapoteza muda tu!Wao wana akili sasa mange anakua mgeni wa nani loh kutumia original sio ujanja ni ujinga ndo mana jf twatumia fake ids tu kina kichwa wamemunyoosha had sehemu anayoishi bora hata nyumbani zilizobomolewa hapa Dar. Mange sasa anachukuliwa ka chizi aliyeachika lolote asemalo anajulikana chizi tu.