Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Haya wapenda ubuyu karibuni ubuyu uko tayar sasa
1469378553534.jpg
kuleni sasa[emoji121]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
uchafu wa mazingira huo na kama mme wako anatabia hiyo mkataze ok

swissme
MTU mzima aliye balehe nitamkatazaje mana kila cku naona wanaume wanakojoa hata pembeni ya foleni. Hii ni tabia ya wanaume wa kibongo
 
MTU mzima aliye balehe nitamkatazaje mana kila cku naona wanaume wanakojoa hata pembeni ya foleni. Hii ni tabia ya wanaume wa kibongo
Kwahiyo wewe unaona anachokifanya huyo jamaa ni sawa na hapo ni mjini watu wanatumia hiyo sehemu wamepaki magari hujui mikijo huwa inaleta harufu mbaya
 
Kwahiyo wewe unaona anachokifanya huyo jamaa ni sawa na hapo ni mjini watu wanatumia hiyo sehemu wamepaki magari hujui mikijo huwa inaleta harufu mbaya
Kwani nimesema ni sawa au umenisoma kimakengeza hyo ndo tabia ya wanaume wa kibongo hata Dar hadharani wanajojoa
 
Huyo sio le mutuz,mange alishawahi kutoa picha akiapia kabisa kuwa ni mtoto wa zari,kumbe mdogo wake
Credibilty ya mange ipo chini sana siku hizi
 
Sijawahi kumuona william akivaa suruali haswa akiwa safarini
William havai mocasin na soxy,acheni kuingizwa chaka
 
Baada ya hapo wana nawa mikono wapi na kuikausha?
Wakishamng'uta jamaa wanaendelea na safari ka mkaanga chips ana shika mshikaki hivo hivo na kumpa mteja. Yan wanaume ni jipu kwanza kukojoa hadharani kuchafua mazingira.
 
Alafu humu ndani mtu ukipost picha au habari ya lemutuz admin kwa nini unafuta au kulock post?
 
Wakishamng'uta jamaa wanaendelea na safari ka mkaanga chips ana shika mshikaki hivo hivo na kumpa mteja. Yan wanaume ni jipu kwanza kukojoa hadharani kuchafua mazingira.
Duh inabidi tubadilike kwa kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom