boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Akiri yake inawakilisha Chama pendwa huyu jamaa na lusinde wa mtera wamepishana kidogo akiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani huyu ni mnyama gani ahahhaa cc MangeKimambiView attachment 383731
Mkuu huyo jamaa chenga sana huwa sipati picha angekuwa na uwezo kama wakina mengi mbona ingekuwa shida sana town maana anambwembwe balaa!
Unamaneno ya kimbea mbea hata mm ngeku blockHuyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
Hivi wewe lini ulimchukulia Le Mbabies serious? Wewe kweli unafikiri Le Mbabies ni King of all social media? Le Mutuz is just Le Mutuz, hakuna kama yeye.
KYC know your customer, at the age of above 50, Le Mutuz is still a teenager.aiseee nicheke ninenepe mie maana kuna shida kubwa kwa huyu jamaaa
Kitu ninachompenda Le Mbebies ana ma confidence ujuha wake bwana.KYC know your customer, at the age of above 50, Le Mutuz is still a teenager.
Huyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
Hataki kukosolewa, ungemwambia he is good looking na kila mrembo anapenda apige nae picha unekuwa "my super fan my sister Clueless 14".[emoji23][emoji23] mie aliniblock kisa nilimwambia akaze macho akipiga picha na warembo, anarembuaga ka anakuna sikio ka!
Jamani.Akikutana na Mdada ataomba apige nae Selfie na akikutana na Mwanaume Maarufu ataomba apige nae picha na kuipost instagram mtoto wake hajui hata baba anafanya kazi gani hapa Town Kazi kujipendekeza kwa Juma Pinto na IPO siku tutaskia Le Mutuz sio Rizki
Mkuu hilo lijamaa halikui....mwili NYUMBA, akili PUNJE YA HARADALI! Na limewapata followers wenye akili za mbuzi, basi linawaburuza kama ng'0mbe wasokuwa na mikia.Nimekusoma mara kadhaa kwenye instagram jinsi unavyowadanganya fans wako nikagundua most of your followers are damn Mburuluzzzz..
Hakuna kitu utakachokiweka kwenye page yako hata kama ni upuuzi uliotukuka na ulio dhahiri wakaacha kukushabikia...!!
Mfano kuna siku ulisema 99.9% ya wanaume na wanawake walio kwenye mahusiano huwa pia wanacheat wapenzi au wenza wao.. Na ukasema that's is a FACT!!
Mimi nilitegemea pale baada ya kusema kwamba that's a FACT ungekuja na analysis au kama ni research iliyofanyika kuonyesha kweli that mentioned percent kweli huwa wanawacheat wenza wao lakini bla..bla.. bla.. Na comments zote Zilizofuata za followers wako zilikuwa za kusupport.
Badilika kaka.. Ni vema mawazo yako yakaendana na umbile lako.
Mkuu, Mungu hawezi kukupa vyote....akikupa mwili mkubwa sharti akunyime akili and vice versa.View attachment 383731
Mkuu huyo jamaa chenga sana huwa sipati picha angekuwa na uwezo kama wakina mengi mbona ingekuwa shida sana town maana anambwembwe balaa!
That is awesome. ..lolWatu wengine wanaugua ugonjwa unaitwa lemutulism
CHEET= CHEATUnaamini MUMMEO hacheet!!??
Sky Elcat bado yeye akutane na WeweJamani.