Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
huyu jamaa ni mpenda sifa alafu sio mkweli, kuna siku kwenye instagram alisema yeye anauza magari yaliyotengenezwa kuanzia mwaka 2010 lakini juzi kaweka gari anauza Mark X ya mwaka 2007
 
Hasa ambacho huwa ananiboa zaidi ni misifa.Jamaa ni mtu wa kujisifia sana tena sifa nyingine ni za kijinga.
Kuna watu hapa bongo wanapata madeala ya maana but huwez kuwaona wanajikweza kama hili lijamaa. Badilika brother,ww wakupaswa kuitwa babu kwa umri uliokuwa nao
 
Huyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana
Unamaneno ya kimbea mbea hata mm ngeku block
 
Huyo ni lemburulas anaongeaga uongo alaf anajifanya fact kiboko yake ni mange wale fans inabd tu wamsapot ukimpnga unakula block mim aliniblock kisa nimepngana nae yan nlimshangaa sana

[emoji23][emoji23] mie aliniblock kisa nilimwambia akaze macho akipiga picha na warembo, anarembuaga ka anakuna sikio ka!
 
[emoji23][emoji23] mie aliniblock kisa nilimwambia akaze macho akipiga picha na warembo, anarembuaga ka anakuna sikio ka!
Hataki kukosolewa, ungemwambia he is good looking na kila mrembo anapenda apige nae picha unekuwa "my super fan my sister Clueless 14".
 
Akikutana na Mdada ataomba apige nae Selfie na akikutana na Mwanaume Maarufu ataomba apige nae picha na kuipost instagram mtoto wake hajui hata baba anafanya kazi gani hapa Town Kazi kujipendekeza kwa Juma Pinto na IPO siku tutaskia Le Mutuz sio Rizki
 
Nimekusoma mara kadhaa kwenye instagram jinsi unavyowadanganya fans wako nikagundua most of your followers are damn Mburuluzzzz..
Hakuna kitu utakachokiweka kwenye page yako hata kama ni upuuzi uliotukuka na ulio dhahiri wakaacha kukushabikia...!!

Mfano kuna siku ulisema 99.9% ya wanaume na wanawake walio kwenye mahusiano huwa pia wanacheat wapenzi au wenza wao.. Na ukasema that's is a FACT!!

Mimi nilitegemea pale baada ya kusema kwamba that's a FACT ungekuja na analysis au kama ni research iliyofanyika kuonyesha kweli that mentioned percent kweli huwa wanawacheat wenza wao lakini bla..bla.. bla.. Na comments zote Zilizofuata za followers wako zilikuwa za kusupport.

Badilika kaka.. Ni vema mawazo yako yakaendana na umbile lako.
Mkuu hilo lijamaa halikui....mwili NYUMBA, akili PUNJE YA HARADALI! Na limewapata followers wenye akili za mbuzi, basi linawaburuza kama ng'0mbe wasokuwa na mikia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom