Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Huyu Mange huwa simuamini kabisa kwa kuzusha tuu hajambo ngoja lemutuz atapambana nae Teh Teh....
 
Mh,huyu binti ,sijui mama ana matatizo gani hivi?,
au wana bifu na huyu le mutuz?
 
Huyo bi machuki mara moja moja awe na ushaidi basi
 
pole le mutuz kwa kuanikwa. halafu inaonekana kumbe uliacha udreva kule NYC ili uwe punda!?
 
Hahaha jamaa anapendwa sana humu haki! Mimi mwenyewe nafurahishwa sana na majibu yake na huwa hakosi jibu! Kama hizo tuhuma za Mange atazijibu zote na watu watabaki wanacheka tuu! Hapo hakuna tuhuma ngumu kwake!

Hakika jamaa ni bonge la celebrity.

Hahahaaa......sitashangaa kabisa kama kuna watu ambao humwota usiku wakiwa wamelala.
 
Mzigo?..mi navuta hisia tu kuna nyimbo ameimba suma mnazaleti..ikianza tu..."Ni tofauti na jana hatutofanana shida zote za jana sizikumbuki tena.anaoneka kijana anaweka mzigo juu ya kibaraza kirefu baada ya mda anapita mtu anauchukua"na hiyo ni south pia..labda ndo mizigo hiyo inayompa shishi show ubelgiji wakati jide anaishia kenya.
 

- hahahahahahahah Instagram ina safari yangu nzima ya South Africa hakuna kilichofichwa hata kimoja, nilienda mwenyewe Johannesburg na nikafikia Maslow Hotel, siku nilipofika Kinje alinialika nyumbani kwake jioni tukachoma nyama nilirudi Hotelini kwangu nikaungana na Mshikaji wangu Mo na kina Petitman,

- Sikumuona tena Kinje mpaka naondoka kesho yake nikakutana na Kampuni ya Glenfiddich Whiskey kama nilivyopanga nao Tarehe 19 nikarudi, hizi habari ni za Isntagaram sasa naona yeye kazifanya kama vile yeye ni Spy zilikuwa siri please hahahahahaha poleni sana mnaomsikiliza this is a big joke

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…