- hahahahaha huwa unapewa pesa kuja kutetea watu huku so unadhani ni kila mtu, soma tena mada limetejwa jina langu THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, ndio maana nipo hapa kuwaelimisha kwamba akisema Mange sio lazima iwe kweli tumia akili zako kufikiri kwanza okee!!
le Mutuz
- pure mburulazzzz sikujui wala sikufahamu nimekublock cause uliandika ujinga na sina business na watu wajinga wasioweza kuona opportunity, mtu mzima unajaza bundle kujakutumia majina ya bandia ni mjinga I have no time for ujinga kwenye my insta, pole sana wala hata sijui wewe ni nani cause nina followers wengi sana! hahahahahah
- Mimi ni Big Celeb. ndio maana unaona hii thread tayari ndio habari ya mjini sasa hivi viewers karibu 8,000 sasa wewe mtu mmoja kwanza hujulikani sio Celeb wa nini ndio maana nimekublock
le Mutuz
Nachokusifu ni jinsi unavyojua kujibu maswali kisiasa yaani hujibu ile hoja bali ni kumshusha thamani aliyeitoa ama kum attack personly .sasa mimi wapi hapo nlipozungumzia kuhusu dk mwaka,mimi sina tabia ya kumtuhumu mtu bila ushahidi na sijatoa maoni yoyote kuhusu yeye zaidi ya kumwachia yeye mwenyewe na mamlaka husika kutoa ufafanuzi wa hii kadhia.Mimi nimezungumzia tu swala la wewe kila ishu unayobanwa nayo maelezo yako ni eti unatengeneza hela,utafikiri wewe ni wa kwanza ama wa mwisho kutengeneza pesa.hoja nyingi za msingi zilizoletwa hapa hujazijibu.
yani we bonge kazi yako ni kutumwa tumwa tu na wanaume wenzako,, huyo unaemtetea dr mwaka ana drive range rover sport we unatokwa povu huku na kinoah chako ulichohongwa na davis mosha
- pure mburulazzzz sikujui wala sikufahamu nimekublock cause uliandika ujinga na sina business na watu wajinga wasioweza kuona opportunity, mtu mzima unajaza bundle kujakutumia majina ya bandia ni mjinga I have no time for ujinga kwenye my insta, pole sana wala hata sijui wewe ni nani cause nina followers wengi sana! hahahahahah
- Mimi ni Big Celeb. ndio maana unaona hii thread tayari ndio habari ya mjini sasa hivi viewers karibu 8,000 sasa wewe mtu mmoja kwanza hujulikani sio Celeb wa nini ndio maana nimekublock
le Mutuz
If at all you are a big celebrity, why are behaving like a baboon ? Please William if you fail to maintain your status,then try to maintain the status of your parents ! " tell me your friends i will tell you who you are" that aplies to tell me your parents, i will tell who you are!
Endelea kuwaburuza hao hao mambururaz 8000 wafata upepo.... I remind you this Usim block mtu Kisa kakushinda hoja... huo ni umburulaz wako wa kwanza.... nawasi wasi nahizo degree zako nahisi zote ni majipu.... mbili hao viewers 8000 if wote wanakuunga mkono kwa kila kitu unacho kiandika basi tambua you are a Leader of super Wapumbavu wenzio! Le mutuz u should go back to school ukaongezee degree ziwe 6 maybe then ndio utaweza kukua kichwa maana now naona una mwili jumba content.0. 001.... ninacho kueleza hakiitaji hata certificate kunielewa. Over.
Degree tatu yupo bize kazini
Yaani degree tatu na kukaa kote "mamtoni" hii ndio kazi yakufanya kweli kupigizana kelele na matusi na vitoto insta na mitandao mingine ya kijamii?
- Behaving like babooon is when a human being stops using his name and starts to use fake ID like you, that is babooon bahvior hahahahahahaha, and by the way I pay for my life hahahahah
le Mutuz
Which life, to sell girls to your big potatoes so you can earn your living?! You are old enough to be respected! Sometimes silence means wisdom!
I am telling you William, you are the source for your parents to lose political influence because people/voter relate your stupidity/behavior with your parents that's why i am advising you to let you parents be respected by hiding your childish behaviour while you are 70's of age !
- hahahahahaha say it again my dad is retired because of my behavior? hahahahahahahahaha nonsense at best!1
le Mutuz
umeooona eee, Huyu Lemutuz sijui vipi, anashadadia Tunguli mbadala.Hahahahahaa hili jamaa lina vituko sana,naona kabanwa mbavu kwelikweli
What about his wife ? Also retired ? It was just my advice to you, since you neglected, let me now handle you to the little boys/girls to teach you how an old man should behave!
umeooona eee, Huyu Lemutuz sijui vipi, anashadadia Tunguli mbadala.