Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?

le Mutuz

Huna Facts mkuu yaani kama wewe kuandika hapa unatengeneza pesa is up to you na mimi pia nina njia yangu ya kutengeneza pesa Ambayo wewe huwezi ifanya mkuu! usitake kunambia watu wote wanatumia social medias wanaendesha maisha yao kwa social media Hio ni BIG NO!

issue sio wewe kumake money issue ni wewe kupigwa za uso na Mange na kumtetea Dr Mwaka na kumkana Mange!

Wewe hata uwe na followers Trillion 8 huwezi kunifanya mimi nishindwe kula na kuishi nitakavyo!

Ww hata uwe na Degree 60! haita fanya watu wengine washindwe kuishi

So swala la kuulizana kama mimi hapa na make money or si make haikuhusu natafuta hela kwa njia nayo ifaham na ww unatafuta hela kwa njia ako!
 

hahahahaahha unanifurahishaga lemutuz
 

So unathibitisha kuwa mwanzoni ulikuwa unampost Dr Mwaka ukiwa hujuii chochote kuhusu yeye na Jana ndo umejua ukweli kwa kuthibitishiwa siku zote alikuwa hajakuthibitishia so iweje umpost Dr ambae huna uhakika nae?
 
- Sijawahi kuchanganya mambo ndio maana hapa ninapoandika I make money je na wewe unafanya hivyo au unaandika for fun?

le Mutuz

We kila mda mbio mbio kwenye eti namake money!

Mkuu hivi wewe ni wakwanza kumake Money kupitia social media? mbona akina Millard ayo wanao fahamika kuliko wewe,wana followers wengi kuliko wewe wana make pesa nyingi kuliko wewe lakino hawajisifu kama wewe?

wewe ni wa kwanza hapa bongo kuwa na Degree 3 eti mbona watu wana Masters wana Phd lakini hawajisifu kama wewe Degree zenyewe hizo za miaka 3,2 unasumbua hapa mjini ungekuwa umesoma Neurology je ingekuwaje? ungekuwa surgion je ungesumbuaje hapa mjini mbona wasomi kuliko wewe wapo kimya huwezi ukakuta wanasema they can thing 20 times than anybody kama wewe ungekuwa specialist je?

Ww kama msomi jamii itakutambua tuu huna haja ya kujisifu wewe kama unapesa au unatengeneza sana pesa jamii itakutambua tuu Mbona akina Azam Mengi wana tengeneza hela kuliko wewe lakini hawajisifu kama wewe
 
muheshumuni le mutuz ni mtu mwenye familia na watoto kumuita mburulazz sio heshima na vilevile ni.mtoto wa waziri mkuu mstaafu kumbukeni na nyie mna familia msije kuaibishwa kama le mutuz
 
muheshumuni le mutuz ni mtu mwenye familia na watoto kumuita mburulazz sio heshima na vilevile ni.mtoto wa waziri mkuu mstaafu kumbukeni na nyie mna familia msije kuaibishwa kama le mutuz

Ana watoto????? hao watoto tabia zapo zipoje Tupe mkuu

Yeye sio wa kwanza kua mtoto wa kiongozi teh teh teh
 
muheshumuni le mutuz ni mtu mwenye familia na watoto kumuita mburulazz sio heshima na vilevile ni.mtoto wa waziri mkuu mstaafu kumbukeni na nyie mna familia msije kuaibishwa kama le mutuz

Ajiheshimu kwanza aache kuhudhuria bhash za watoto
 
Ana watoto????? hao watoto tabia zapo zipoje Tupe mkuu

Yeye sio wa kwanza kua mtoto wa kiongozi teh teh teh


Mbona unaenda mbali hivi na masqali yako, lazima utakuwa mtu uliyeguswa nae au mnajuana maana mmh.

Ngoja nikusome
 

hahaaa le mbebezz wewe c ulikua unampigia debe juzijuzi kua magufuli asimsahau kimambi kua kawasaidia sana kwenye kampeni.....leo unakuja n blahblah zko za kitoto hapa kua humjui..acha upambe wa kijinga umri wko sio wa kua mpambe fanya kazi kwa bidii slope zitakucost wewe babu.

huyo mwaka ni tapeli tu mpigaji wa mjini kwa kutumia matatizo y kina mama ya uzazi.....acha porojo mange kakushika pabaya babu
 

hahaaa babuuu mzee wa ekotiteee ingekua followers ni biashara wauza sura wa insta wenzako wangekua mabilionea....acha upimbi kujisifia sifa za kitoto mbna maisha yko yaleyale mara leo umepata mkataba wa voda mara cjui nimepata mkataba wa blahblah wakti maisha yko hovyo tu hata nyumba imekushinda kumalizia limebaki ghofu......umri wko sio wa kutaka sifa z kitoto hizo waachie yamoto band ndio size yao
 
Loh umeua Mkuu...

hahaaa babu kelele zote humu kalipwa kuja kumtetea tapeli mwenzie.....eti ameongeza followers 8000 so what?hata wauza sura insta wana followers 60000 hawana mbele wala nyuma kimaisha kma yeye babu jinga......huyu popoma angekua n uwezo angemalizia lile pagala lake hana chochote zaidi y kujisifia tu ukilaza wake humu
 

Katika vitu ambavyo huwa vinanishangaza ni yule former prime minister kutokumuonya huyu "mwanae"!
 

Ha ha ha ha haaa,ujana nusu ya uwendaazim
 
- Kwa mujibu wa Google nina followers 500,000 ndani ya Social Media kila siku, imagine hata bila wewe sina tatizo kwenye Instagram yangu ukiandika ujinga nakuondoa maana sihitaji followers mizigo kama wewe

le Mutuz

Followe mzigo,jamani ha ha ha ha CC nifah
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…