Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya

pulex

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
536
Reaction score
2,213
Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter

“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????

Hii movie ndo kwanza imeanza.

Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye nchi yao walikuwa na silaha na waliua askari ukidhani kuwa kuongea vile kimama atakupenda zaidi.

Mwigulu uliuza utu wako , uliuza Watanganyika. Mwigulu uliuza nchi, wizara ya fedha ulimkabidhi Abdul kwa tamaa zako. Leo nchi inahangaika ki fedha kwa sababu ya ushenzi wako.

Watanzania mnakumbuka hapo nyuma wanaharakati kina Maria sarungu na kina Hilda Newton waliwaletea habari ya kwamba Mwigulu alipewa sumu alipokuwa Europe huko. It’s was 100% true. Nilikaa kimya coz niliona nikiongea kuhusu hilo jaribio ni kwamba nitamuokoa maisha yake. Yani hata hapa naandika najilaumu maana Abdul itabidi afikirie mara mbili anapita nae vipi.

Kuna Watanganyika walitusaliti tulipouawa na huyo Mzanzibary na mtoto wake October 29 kwa tamaa zao, acha kimama apite nao, tutaangalia pembeni.

Na kwa kuwajulisha tu, kama mlikuwa hamjui, huyu Mwaipopo ni besti wa Abdul, yani huyu Mwaipopo anakutana na Abdul na kuongea nae kama mshikaji. Hayo maneno anayoongea hapo katumwa na Abdul 100%…… kila anachoongea na kufanya huyu jamaa anatumwa na Abdul directly. Ndio maana hagusiki na serikali.”

“Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi.”

“Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.

Useful idiots!!!!!”
 
Amen na iwe hivyo
 
Ndio maana hata Nchimbi tuwaache CCM wenzie wamtafute.

Sisi tumuombee dua tu asiuawe 😅😩

Wana CCM siku wakisikia katiba mpya tuongee lugha moja, CCM mnatakiwa kuwa huru mfanye siasa za ushindani, mpate matokeo mnayopata, sio sasa ni kama mmeshikilia kila kitu lakini hamjashikilia chochote. Ninyi ni picha tu/kivuli/kinyago.
 
Back
Top Bottom