Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ashukuriwe kwa kila jambo.Mungu fundi sana!
Ashukuriwe kwa kila jambo.Mungu fundi sana!
"Wakimalizana na sisi wataanza kushughulikana wao kwa wao".Acha Yauwane Baba
Okay, sawaAnaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter
“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????
Hii movie ndo kwanza imeanza.
Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye nchi yao walikuwa na silaha na waliua askari ukidhani kuwa kuongea vile kimama atakupenda zaidi.
Mwigulu uliuza utu wako , uliuza Watanganyika. Mwigulu uliuza nchi, wizara ya fedha ulimkabidhi Abdul kwa tamaa zako. Leo nchi inahangaika ki fedha kwa sababu ya ushenzi wako.
Watanzania mnakumbuka hapo nyuma wanaharakati kina Maria sarungu na kina Hilda Newton waliwaletea habari ya kwamba Mwigulu alipewa sumu alipokuwa Europe huko. It’s was 100% true. Nilikaa kimya coz niliona nikiongea kuhusu hilo jaribio ni kwamba nitamuokoa maisha yake. Yani hata hapa naandika najilaumu maana Abdul itabidi afikirie mara mbili anapita nae vipi.
Kuna Watanganyika walitusaliti tulipouawa na huyo Mzanzibary na mtoto wake October 29 kwa tamaa zao, acha kimama apite nao, tutaangalia pembeni.
Na kwa kuwajulisha tu, kama mlikuwa hamjui, huyu Mwaipopo ni besti wa Abdul, yani huyu Mwaipopo anakutana na Abdul na kuongea nae kama mshikaji. Hayo maneno anayoongea hapo katumwa na Abdul 100%…… kila anachoongea na kufanya huyu jamaa anatumwa na Abdul directly. Ndio maana hagusiki na serikali.”
“Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi.”
“Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Useful idiots!!!!!”
Kama vice president katolewa na kupotezwa kama mbwa koko,nini kinashindikana 😁Halafu kuna mazombie ya chadema yatakayoamini huu upuuzi wa mange, chadema kuna wajinga wengi sana
Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Huyo kahaba kwanza siyo mtanzania alishakana uraia wa nchi yetu. Sahv analialia kwa kuwa yale malengo yake ya kuangamiza nchi yetu yameshindana. Yote aliyoandika ni uzushi na uwongo. Ni kibaraka cha wazungu atakufa kifo kibaya km Rachel DangwaAnaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter
“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????
Hii movie ndo kwanza imeanza.
Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye nchi yao walikuwa na silaha na waliua askari ukidhani kuwa kuongea vile kimama atakupenda zaidi.
Mwigulu uliuza utu wako , uliuza Watanganyika. Mwigulu uliuza nchi, wizara ya fedha ulimkabidhi Abdul kwa tamaa zako. Leo nchi inahangaika ki fedha kwa sababu ya ushenzi wako.
Watanzania mnakumbuka hapo nyuma wanaharakati kina Maria sarungu na kina Hilda Newton waliwaletea habari ya kwamba Mwigulu alipewa sumu alipokuwa Europe huko. It’s was 100% true. Nilikaa kimya coz niliona nikiongea kuhusu hilo jaribio ni kwamba nitamuokoa maisha yake. Yani hata hapa naandika najilaumu maana Abdul itabidi afikirie mara mbili anapita nae vipi.
Kuna Watanganyika walitusaliti tulipouawa na huyo Mzanzibary na mtoto wake October 29 kwa tamaa zao, acha kimama apite nao, tutaangalia pembeni.
Na kwa kuwajulisha tu, kama mlikuwa hamjui, huyu Mwaipopo ni besti wa Abdul, yani huyu Mwaipopo anakutana na Abdul na kuongea nae kama mshikaji. Hayo maneno anayoongea hapo katumwa na Abdul 100%…… kila anachoongea na kufanya huyu jamaa anatumwa na Abdul directly. Ndio maana hagusiki na serikali.”
“Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi.”
“Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Useful idiots!!!!!”
Taifa linatawaliwa na mashetani. wale wenye Imani katika jina la YESU tukazane kukemea utawala huu wa majini. Muuaji tangu asili ni shetani. watu wengi hawajajua kuwa hii ni spiritual warfare !!!Ndio maana hata Nchimbi tuwaache CCM wenzie wamtafute.
Sisi tumuombee dua tu asiuawe 😅😩
Wana CCM siku wakisikia katiba mpya tuongee lugha moja, CCM mnatakiwa kuwa huru mfanye siasa za ushindani, mpate matokeo mnayopata, sio sasa ni kama mmeshikilia kila kitu lakini hamjashikilia chochote. Ninyi ni picha tu/kivuli/kinyago.
Matajiri wengi anaishi ktk constant fear, kuupata utajir is not hard, ku maintain huo utajir ndio vita ilipoUsikute na umasikini wangu Nina amani ya moyo kuliko matajiri wengi tu
Hawaamini, hawaamini pia hata kama Nchimbi yuko detention au kama Polepole alitekwa na probably ameuawa. Hawaamini kabisa.Halafu kuna mazombie ya chadema yatakayoamini huu upuuzi wa mange, chadema kuna wajinga wengi sana
Hata mimi siamini kama taarifa hii ni kweli.Halafu kuna mazombie ya chadema yatakayoamini huu upuuzi wa mange, chadema kuna wajinga wengi sana
Dr. Mwigulu Nchemba alifurahia kuuawa kwa maelfu ya Watanganyika MO29. Wacha wauaji wenzake wamshughulikie tu, good riddanceMange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya