Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya

Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya

Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Kwa nini apotezwe, kwani kuna jambo lolote analowatishia wanaomtumia sasa?

Akina Mwigulu wanashughulikiwa kwa vile wanaziba nafasi au wanatishia kuziba nafasi.

Wanaoshughulikiwa ni wale wanaoonyesha tamaa ya kushika nafasi wasizotakiwa kuzitamani,
 
Wacha wauane walahi...
Watanganyika wenzetu walivyotugeuka HATUTASAHAU!
 
Back
Top Bottom