Mange Kimambi: Walitaka Kummaliza Mwigulu akiwa Ulaya

Okay, sawa

NCHIMBI, POLEEPOLE, waliwagundua sio viumbwa vyao na wanaleta utetezi wa Utanganyika kwa kiasi chao.

Ni kwa nn kina Katambi na Mwigulu na hata labda Mwaipopo unasema baadae watakuja kumalizwa kama bado ni vipanya na vimbwa vya Abduli na Wazanzibari ?????????

Watwana huwa wanaua watumwa ??????

Kwa saab Katambi na Mwigulu hawana dalili hata kidogo za kuja kugeuka na kuleta u Upolepole na u Nchimbi. Kwa nn Abduli awachinje na hawa ?
 
Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
 
Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.

Wanamalizaje kukutumia ????

Kimdoli kipo hapo unakitumia kuchinja na kutawala Watanganyika, kwa nn na chenyewe ukichinje ?????

Kina Makonda na Mafwele na ma OCD wote wanaojua maiti za kina Mdude na Soka na Saanane na Polepope ziko wapi na Aide de Camp wa Kikwete aliyepelekwa kuwa Military Chief of inteligence kuelekea uchaguzi wa 2025 wote wangekuwa washakufa !!!!!!!

Yule Kamugisha sijui Kashaija wa Tanzania Bureau of Standards aliyepelekwa TISS kuongoza vikosi vya Landcruiser Hardtop wote wale wangekuwa washauliwa!

Watawatumia hawa henchmen kuua Watanganyika wenzao for as long as they are available!
 
Huyo kahaba kwanza siyo mtanzania alishakana uraia wa nchi yetu. Sahv analialia kwa kuwa yale malengo yake ya kuangamiza nchi yetu yameshindana. Yote aliyoandika ni uzushi na uwongo. Ni kibaraka cha wazungu atakufa kifo kibaya km Rachel Dangwa
 
Taifa linatawaliwa na mashetani. wale wenye Imani katika jina la YESU tukazane kukemea utawala huu wa majini. Muuaji tangu asili ni shetani. watu wengi hawajajua kuwa hii ni spiritual warfare !!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Sasa wamekuwa kama wauza madawa ya kulevya, hawaaminiani tena, ni adhabu kubwa sana kufanya kazi ukiwa na pressure ya usalama wako itakumaliza ndani taratibu.

Kuzungukwa na watu wenye upeo mdogo nayo ni changamoto kubwa, inakulazimu ujishushe kifikra ili ufanane nao.

Mbaya zaidi unaweza kujishusha mpaka mwisho lakini bado wasikuelewe tu, na ukijaribu kujiongeza hata kwa nia njema ila wakakutafsiri tofauti sababu ya upeo wao mdogo ghafla mnakuwa maadui, - sumu.

Naona ndio maana jamaa amechagua kunyamaza sasa kwa usalama wake, na hapo ndio amejigeuza rasmi kuwa mtumwa wa akili ndogo licha ya ule ujuaji wake.
 
""Nikazidi kuoteshwa ndotoni ile siku inakuja atatokea kiongozi ambaye watamwamini naye hatakuwa pamoja nao,

Naye atawasulubisha kunako,nao wata,itapika kila aina ya dhuluma waliyoitenda,

Kinga zote zitafutwa nao watasaga meno,wataikumbuka siku ile ya uovu wao,nao uovu wao utawakumbatia,

Basi hakutakuwa na wa kuwanusuru nao watatabika kwa uovu wao,kila njia kwao itageuka giza totoro,kwani dhulma ile itawakumba na kuwasulubu wao na kizazi chao cha nne,

Wala hakutakuwa na furaha tena mioyoni mwao""

---------
Injili ya crocodiletooth yanena haya!....
 
Halafu kuna mazombie ya chadema yatakayoamini huu upuuzi wa mange, chadema kuna wajinga wengi sana
Hawaamini, hawaamini pia hata kama Nchimbi yuko detention au kama Polepole alitekwa na probably ameuawa. Hawaamini kabisa.
Hawaamini pia kuwa Samia alipishwa urais ndani ya kambi ya jeshi, hawaamini pia uliopaswa kuwa uchaguzi uligubikwa na ghasia na Watanganyika wengi kuuawa na polisi na wengine kwamba ni Samia na genge lake tu ndiyo wanajua maiti ziko wapi na zimefanywa nini.
Ila wanaamini tu kwamba Samia alipata 31 million plus votes na kushinda kwa 'kishindo' 98%.
Satisfied?
 
Halafu kuna mazombie ya chadema yatakayoamini huu upuuzi wa mange, chadema kuna wajinga wengi sana
Hata mimi siamini kama taarifa hii ni kweli.

Sababu Mwigulu hajaripotiwa kukosekana katika matukio ya kitaifa, kimataifa, Bungeni au jimboni.

Lakini ukweli mmoja tu katika taarifa hii ni vita, chuki na ubaguzi,wanayopitia Watanganyika toka kwa Nchi ya Zanzibar

Hapa Chadema wala CCM haina maana. Wenzako wanakula, wanapora rasilimali, wanalimbikiza, wewe atukana Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…