antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kwamba hatimaye CHAWA umeokoka na kumkataa sheitwani na mambo yake yote, au??""Nikazidi kuoteshwa ndotoni ile siku inakuja atatokea kiongozi ambaye watamwamini naye hatakuwa pamoja nao,
Naye atawasulubisha kunako,nao wata,itapika kila aina ya dhuluma waliyoitenda,
Kinga zote zitafutwa nao watasaga meno,wataikumbuka siku ile ya uovu wao,nao uovu wao utawakumbatia,
Basi hakutakuwa na wa kuwanusuru nao watatabika kwa uovu wao,kila njia kwao itageuka giza totoro,kwani dhulma ile itawakumba na kuwasulubu wao na kizazi chao cha nne,
Wala hakutakuwa na furaha tena mioyoni mwao""
---------
Injili ya crocodiletooth yanena haya!....
Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter
“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????
Hii movie ndo kwanza imeanza.
Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye nchi yao walikuwa na silaha na waliua askari ukidhani kuwa kuongea vile kimama atakupenda zaidi.
Mwigulu uliuza utu wako , uliuza Watanganyika. Mwigulu uliuza nchi, wizara ya fedha ulimkabidhi Abdul kwa tamaa zako. Leo nchi inahangaika ki fedha kwa sababu ya ushenzi wako.
Watanzania mnakumbuka hapo nyuma wanaharakati kina Maria sarungu na kina Hilda Newton waliwaletea habari ya kwamba Mwigulu alipewa sumu alipokuwa Europe huko. It’s was 100% true. Nilikaa kimya coz niliona nikiongea kuhusu hilo jaribio ni kwamba nitamuokoa maisha yake. Yani hata hapa naandika najilaumu maana Abdul itabidi afikirie mara mbili anapita nae vipi.
Kuna Watanganyika walitusaliti tulipouawa na huyo Mzanzibary na mtoto wake October 29 kwa tamaa zao, acha kimama apite nao, tutaangalia pembeni.
Na kwa kuwajulisha tu, kama mlikuwa hamjui, huyu Mwaipopo ni besti wa Abdul, yani huyu Mwaipopo anakutana na Abdul na kuongea nae kama mshikaji. Hayo maneno anayoongea hapo katumwa na Abdul 100%…… kila anachoongea na kufanya huyu jamaa anatumwa na Abdul directly. Ndio maana hagusiki na serikali.”
“Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi.”
“Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Useful idiots!!!!!”
Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
nonsense 🐒Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter

Kama vice president katolewa na kupotezwa kama mbwa koko,nini kinashindikana 😁
Kwani Rachel Dangwa ameshakufa mkuu?Huyo kahaba kwanza siyo mtanzania alishakana uraia wa nchi yetu. Sahv analialia kwa kuwa yale malengo yake ya kuangamiza nchi yetu yameshindana. Yote aliyoandika ni uzushi na uwongo. Ni kibaraka cha wazungu atakufa kifo kibaya km Rachel Dangwa
DuhKwani Rachel Dangwa ameshakufa mkuu?
,🤔🤔🤔🤔Kama vice president katolewa na kupotezwa kama mbwa koko,nini kinashindikana 😁
Mange kimambi na nchimbi mbona stori mbili tofauti fikiria na ulete vitu hapa jukwaani Kwa upeo , Sababu zilizomwondoa Nchimbi unazijua ? Ndugu za chimbi wasipate kazi wewe ndo unawapangia. Au unadhani Kila mtu anahitaji uteuzi au kuajiliwaMANGE KIMAMBI= shetani
shetani ni mfitini na baba wa uongo.
Kamfitinisha Mchimbi na CCM leo familia ya Mchimbi haijui ishike wapi na ianzie wapi.
Unadhani ukitoka ndani ya familia ya Mchimbi leo hii utaweza kuaminika na serikali na kupewa kazi muhimu?
I hate that slim demon.
MANGE KIMAMBI amelaaniwa. Imagine mtu analalwa na father wake mpaka mimba then vijana wajinga kama nyie ndiye kawa mwalimu wenu.
MANGE KIMAMBI ni mlaaniwa, vita yake juu ya CCM au Tanzania ilianza pale kamati kuu ya CCM ilipomkataa 2015.
Hata kama CCM kuna ujinga ndo wampe nafasi ya kugombea mtu ambaye ana uraia wa USA na ana laana ya ukahaba 😭😭.
mdogoee
Mwishowe nitajiua mwenyewe kwa KUJIOGOPA! 😅Mtauwa kila mtu
Kuna uthibitisho gani kwamba Mwingulu alipitia hiyo kadhia?Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter
“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????
Hii movie ndo kwanza imeanza.
Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye nchi yao walikuwa na silaha na waliua askari ukidhani kuwa kuongea vile kimama atakupenda zaidi.
Mwigulu uliuza utu wako , uliuza Watanganyika. Mwigulu uliuza nchi, wizara ya fedha ulimkabidhi Abdul kwa tamaa zako. Leo nchi inahangaika ki fedha kwa sababu ya ushenzi wako.
Watanzania mnakumbuka hapo nyuma wanaharakati kina Maria sarungu na kina Hilda Newton waliwaletea habari ya kwamba Mwigulu alipewa sumu alipokuwa Europe huko. It’s was 100% true. Nilikaa kimya coz niliona nikiongea kuhusu hilo jaribio ni kwamba nitamuokoa maisha yake. Yani hata hapa naandika najilaumu maana Abdul itabidi afikirie mara mbili anapita nae vipi.
Kuna Watanganyika walitusaliti tulipouawa na huyo Mzanzibary na mtoto wake October 29 kwa tamaa zao, acha kimama apite nao, tutaangalia pembeni.
Na kwa kuwajulisha tu, kama mlikuwa hamjui, huyu Mwaipopo ni besti wa Abdul, yani huyu Mwaipopo anakutana na Abdul na kuongea nae kama mshikaji. Hayo maneno anayoongea hapo katumwa na Abdul 100%…… kila anachoongea na kufanya huyu jamaa anatumwa na Abdul directly. Ndio maana hagusiki na serikali.”
“Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi.”
“Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul.
Useful idiots!!!!!”
Kuna watu wataingia kwenye hii GIA but wahusika ndio wanajua ukweliAnaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter

Buddy ukiulizwa ni lini huyo Abdul alijifunza hayo matendo yote kigaidi naya kihalifu utajibu nini ?Buddy