msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Upweke unaua.
Kwani nae mwanaume?
Nani unamuuliza?
Ms.Lincoln
Nimponde Mange kisa nini?Sio mara zote hua namkubali Mange, kuna wakati ananikera na hua nasema wazi, ila akifanya poa hua nasema pia.Sina haja ya kumchukia mtu kwa kila jambo, huo ni UNAFKI.Kila mwanadamu ana mema na mabaya yake.
Pia haya maisha kila mtu na lifestyle yake,wao walijichagulia maisha hayo, yakawakuta yaliyowakuta, sisi inatuhusu nini? Wenyewe wamevuna waliyoyapanda.
Hata hivyo Mange hajafanya vibaya kuwaanika maadui zake.Nilichopenda ni jinsi alivyoweka wazi kua wapo ambao yupo tayari kupatana nao na ambao hayupo tayari.
Ni nani asiyekua na maadui? Hata humu JF japo tunatumia fake id's tu lakini sidhani kama kuna ambaye hana adui yake japo tunatofautiana idadi.Hata mimi nifah nina maadui chungu nzima wengine nawajua wengine siwajui hua nasikia wanasema huko pm's kua hawanipendi.
Sasa hapa tu natumia fake id's na bado watu wananichukia kisa misimamo yangu na vile ninavyojielezea, katika maisha ya kawaida hali ikoje?
Hao ni wanaonichukia, wapo ambao tuliwahi kukwaruzana sehemu fulani hadi sasa hatuquote each other.
Vipi huko nje ya JF katika maisha ya kawaida?
Kugombana ni jambo la kawaida tu.Hata huyo Mange siwezi kumlaumu kwa kua na idadi ile ya watu maana hakupenda kuishi kinafki na watu ili tu aonekane mtu mwema.Ndio maana kasema hata yeye alikua na mapungufu yake.
Pia kuongea mambo yaliyokua moyoni ni vyema kwani vinyongo vinaua! Ni wangapi wanakufa kwa kujinyonga/pressure kisa msongo wa mawazo?
Hivyo yeye kutoa yake ya rohoni sio mbaya hata kidogo.
HATA SISI TUNA MAADUI, HAKUNA ALIYE MWEMA KWA WATU WOTE.
Niliye mqoute

Baba ako angekuwa na pesa ndo ungeijua jinsia yangu...
nifah am sorry but i dont mean to offend u but please we ni mkali sana na una maneno makali mno japo hayana matusi ila daah...!!
am sorry km ntakukwaza kwa hili
kuhusu jf watu kuchukiana mi naonaga ujinga tu eti unsengenye kwa fake id tena hakuna ht mtu mmoja humu anaenijua labda ataanza kujishobosha shobosha
huo si undezi huoo
au eti unajifanya una hasira au hunipendi mpk huniqoute huo uchizi sasa...
mi mbona jf naichulikiaga km sehemu ya kubadilishana mawazo km darchat enzi zile
jamani km kuna mtu ananichukia nyuma ya keyboard"hongera sana"maana unadhihirisha ulivyo sifuri kiakili na kimwili
yani kabisa unachukia id's za watu labda km mshaonanaga hapo sawa na ndo maana sitaki kukutana na snitches yoyote humu labda wale wanaojielewa
maana utakutana na mtu kwa nia njema tu kumbe at very first place mwenzio kashakutangaza kua una sura km king kong mie nachukia sana maugomvi ugomvi hasa kwenye mitandao km hii maana humu wengine wana wenza wao,ndugu zao, nk
mi napenda sana amani ndo maana nikiona mtu anakuja juu mi napotezea sana si km naogopa ila sioni haja ya kujitoa fahamu sana
pole kwa ww usiyoqoute watu kisa umegombana na anonymous
kazi unayooo...!!
Hahahahaa, mmojawapo mie nikiwemo.Sioni sababu ya kukasirika kisa gazeti lake alilolitoa mwenyewe.
VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.
Hahaaaaaa umejuaje sasa. Nothing more than ubuyu wa mjini mweeeeh.
ndo maana sitaki kukutana na snitches yoyote humu labda wale wanaojielewa
maana utakutana na mtu kwa nia njema tu kumbe at very first place mwenzio kashakutangaza kua una sura km king kong
Hapa nimecheka hadi bhaaaasssss. JF miaka km 3 iliyopita wakati najiunga members walikuwa wanajitambua sana. Akina lizy, husniyo, preta, gfsonwin n.k hadi nilikuwa natamani kuwaona. Ila JF ya Leo toka registalration ya member Wa kata ianze after techno kuweka internet basi imeharibika. Nawaogopa members Wa JF kama ukoma vile. Japo sina ugomvi na yoyote.
CC kaka matumbo eti kwani tuna ugomvi?
Nimeona tu jana mlivyomdaka SIERA amwage ubuyu! Lol
Kule IG sasa ndo usipime watu wanavyochekelea.
Na ile issue ya Wema kutembea na ex wa Lina ni shida eti watu wanamsubiri mange amchambe mdogo wake! Duuuh hali si shwari aiseee
Hapa nimecheka hadi bhaaaasssss. JF miaka km 3 iliyopita wakati najiunga members walikuwa wanajitambua sana. Akina lizy, husniyo, preta, gfsonwin n.k hadi nilikuwa natamani kuwaona. Ila JF ya Leo toka registalration ya member Wa kata ianze after techno kuweka internet basi imeharibika. Nawaogopa members Wa JF kama ukoma vile. Japo sina ugomvi na yoyote.
CC kaka matumbo eti kwani tuna ugomvi?
Lakini kama mtu we ndo unapondeaga wenzako wana sura kama king kong kwanini na we wasikutangaze??!! Teh!
Nimewaza tu

Unfortunately I don't comment on Mange's blog, I only tell you guys off sometimes because you seemed to have personal crushes with her. It doesn't need a degree for someone to notice, anyway have a good day.