Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Yaani umeona eeh anajua hana la kujitetea, kweli ukweli unaumaaa saana.

Anapanga gazeti lingine la kujitetea alichoandika juzi. Kulala halali anawaza kimya kimya zels aka mange.
 
Nimeona tu jana mlivyomdaka SIERA amwage ubuyu! Lol
Kule IG sasa ndo usipime watu wanavyochekelea.

Na ile issue ya Wema kutembea na ex wa Lina ni shida eti watu wanamsubiri mange amchambe mdogo wake! Duuuh hali si shwari aiseee

Yani tulimdakaje SIERA atupe ubuyu mwenyewe kala kona mazima hajarudi tangia Jana.
Ni kweli Wema kadate naye au ukute walikua na mazoea.Hawezi kuandika kirahisi hivi hivi.
 
Last edited by a moderator:

Tunataka kizazi kipya cha wambea wa digital, analogy tupa kulee
 
Last edited by a moderator:

What are you on my dear?

Kukubali kushindwa kwa lipi mfano, ugomvi wa Mange na shoga zake nishindwe kulala mm

Ukishinda unamshambulia mtu hasa kwa visivyokuhusu huoni km huko ni kujishusha.

Huku umbea kwa kwenda mbele ila usi base on one side, km mtu anasema ukweli basi asifiwe sio kumnanga tuu twenty four seven. Mana chuki, hasada na wivu ni ugonjwa na unaua
Hiyo not raiti Ms Lincoln
 
Reactions: naa

ugomvi wangu na wewe kama wayaud na wapalestna.
 
What are you on my dear?

Huku umbea kwa kwenda mbele ila usi base on one side, km mtu anasema ukweli basi asifiwe sio kumnanga tuu twenty four seven. Mana chuki, hasada na wivu ni ugonjwa na unaua
Hiyo not raiti Ms Lincoln

Umejitahidi kuspell.
I think Mange ana suffer sana deep inside.Plz msiwe mnamwongezea sufferings zake.
Ni dhambi mbaya.
Kuna mwenye wivu Africa na Us nzima kuliko Mange.....biiiii, please!
 
Umejitahidi kuspell.
I think Mange ana suffer sana deep inside.Plz msiwe mnamwongezea sufferings zake.
Ni dhambi mbaya.
Kuna mwenye wivu Africa na Us nzima kuliko Mange.....biiiii, please!

Ana suffer from what? If she does time will tell, don't involve yourself with unnecessarily stuff.

Don't be so judgemental dada. Unatumia soooo much energy to prove her wrong.
 
Reactions: naa
hahahahsssshaaa
asa mi sinatangazaga celebrity...sio wa jf akuu

Hahah si hata hao celebrities na wenyewe wamo humu pamoja na wapendwa wao?!!

Halafu through hayo hayo maneno ukizidisha sana ndo unavyowajengea image flani hadi wengine wanatamani kukuona.....sasa wakikuta yaliyomo hayamo heheh ndo matokeo hay though kuna wengine huwa ni wanaa tu!
 
Ana suffer from what? If she does time will tell, don't involve yourself with unnecessarily stuff.

Don't be so judgemental dada. Unatumia soooo much energy to prove her wrong.

KOH KOH KOH!
Wewe mama, mie hapa ni kama kibarzan, Mange is judgemental.
Mange is depressed.
Time tells it all....naona hapa unataka kujipanikisha bureeeee....karibu
 
hhhhaaaahhhaaaa nimecheka hatariii
hasa hapo yaliyomo hayamo
 
Hahah hukumbuki kwenye ule uzi wa yule dada walosemage anatoka na Kiba?
Baada ya kupondewa sana unakumbuka na jamaa mmoja alikuja akasemaje? Teh!

Eti watu wama sura kama tangawizi teh teh
 
Yani tulimdakaje SIERA atupe ubuyu mwenyewe kala kona mazima hajarudi tangia Jana.
Ni kweli Wema kadate naye au ukute walikua na mazoea.Hawezi kuandika kirahisi hivi hivi.

Hahaah SIERA saa hizi yuko Mererani mpaka amalize kazi.....nyie subirini tu!

Dah ila Wema jamani mweeeh ngachoka mie!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…