Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Nahisi umekosea, sio mimi mlengwa wa hii quote.
Jaribu kuangalia tena urudie ili ujumbe wako umfikie mlengwa.
kelewiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi umekosea, sio mimi mlengwa wa hii quote.
Jaribu kuangalia tena urudie ili ujumbe wako umfikie mlengwa.
Naoma umeamua kukubali kushindwa kujitetea kwao hadi unasingizia maana hata mimi nimewasona humu hakuna cha crush wala wivu bali wanashusha facts
Ndio ni ngumu kukubali ila unachemsha kuanza kisingizia inaonyesha kushindwa nao na inaeleweka ukweli unauma.
Nimeona tu jana mlivyomdaka SIERA amwage ubuyu! Lol
Kule IG sasa ndo usipime watu wanavyochekelea.
Na ile issue ya Wema kutembea na ex wa Lina ni shida eti watu wanamsubiri mange amchambe mdogo wake! Duuuh hali si shwari aiseee
Hapa nimecheka hadi bhaaaasssss. JF miaka km 3 iliyopita wakati najiunga members walikuwa wanajitambua sana. Akina lizy, husniyo, preta, gfsonwin n.k hadi nilikuwa natamani kuwaona. Ila JF ya Leo toka registalration ya member Wa kata ianze after techno kuweka internet basi imeharibika. Nawaogopa members Wa JF kama ukoma vile. Japo sina ugomvi na yoyote.
CC kaka matumbo eti kwani tuna ugomvi?
Naoma umeamua kukubali kushindwa kujitetea kwao hadi unasingizia maana hata mimi nimewasona humu hakuna cha crush wala wivu bali wanashusha facts
Ndio ni ngumu kukubali ila unachemsha kuanza kisingizia inaonyesha kushindwa nao na inaeleweka ukweli unauma.
Hapa nimecheka hadi bhaaaasssss. JF miaka km 3 iliyopita wakati najiunga members walikuwa wanajitambua sana. Akina lizy, husniyo, preta, gfsonwin n.k hadi nilikuwa natamani kuwaona. Ila JF ya Leo toka registalration ya member Wa kata ianze after techno kuweka internet basi imeharibika. Nawaogopa members Wa JF kama ukoma vile. Japo sina ugomvi na yoyote.
CC kaka matumbo eti kwani tuna ugomvi?
What are you on my dear?
Huku umbea kwa kwenda mbele ila usi base on one side, km mtu anasema ukweli basi asifiwe sio kumnanga tuu twenty four seven. Mana chuki, hasada na wivu ni ugonjwa na unaua
Hiyo not raiti Ms Lincoln
Hahaha hahahaha.. Lol mjini kuna mambo aisee.. Ngoja nikaangalie ubuyu wa Wema..
Umejitahidi kuspell.
I think Mange ana suffer sana deep inside.Plz msiwe mnamwongezea sufferings zake.
Ni dhambi mbaya.
Kuna mwenye wivu Africa na Us nzima kuliko Mange.....biiiii, please!
hahahahsssshaaa
asa mi sinatangazaga celebrity...sio wa jf akuu
Kuna watu wanashusha matusi hatari! Duh
Ha ha ha!.
Uwii...umenichekesha ujue
Aisee mi huwa naishia tu kushangaa.... Hivi huwa hawajisikii vibaya?
Ana suffer from what? If she does time will tell, don't involve yourself with unnecessarily stuff.
Don't be so judgemental dada. Unatumia soooo much energy to prove her wrong.
Hahah si hata hao celebrities na wenyewe wamo humu pamoja na wapendwa wao?!!
Halafu through hayo hayo maneno ukizidisha sana ndo unavyowajengea image flani hadi wengine wanatamani kukuona.....sasa wakikuta yaliyomo hayamo heheh ndo matokeo hay though kuna wengine huwa ni wanaa tu!
Hahah hukumbuki kwenye ule uzi wa yule dada walosemage anatoka na Kiba?
Baada ya kupondewa sana unakumbuka na jamaa mmoja alikuja akasemaje? Teh!
Eti watu wama sura kama tangawizi teh teh
hhhhaaaahhhaaaa nimecheka hatariii
hasa hapo yaliyomo hayamo