Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee

Ngoja tumuombe Madame B nahisi atakua anajua jinsi ya kuanzisha group. Suala la kuingiza watu wengine hatulitaki kabisa, maana huko tutakua tunamwagika kwa raha zetu hatutaki mashaka.
Hawa wanafki huku watakomaje jamani?
Huku tutakua tunawachora tu mambo yote tunayamwaga huko.
 
Last edited by a moderator:
Ahahahh kweli kabisa yani, watu wengi wananifuata PM kuomba namba yangu tuwe tunachat, sema usalama naogopa kutoa, ila nina mpango wa kutengeneza line nyingine next week nadhan, humo nitatoa namba yangu kwa wote tuwe tunachat, maana ata mimi najisikia vbya sana yani ,nataman ile bond ya nguvu, maana wambea mkikutana mnabadilishana mawazo no stress, ha hah hahah
warumi ww upo sayari gani... Huna haja ya kutengeneza namba ingine.. Pakua application inaitwa KIK Haihitaji namba ni ID name tu then tunapiga zetu umbea
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeeee hii habari tamu tunakosa umbea wa ukweliiii banaa humu twashindwa kujiachiaaa

Na tufungue group letu la umbeaaaaa....tumechoka unafki wa huku.
Halafu hao wa id's mpya kila siku ni marufuku.Maana kuna watu kila siku wanakuja na id mpya lakini anavyojielezea unajua tu mzoefu wa huku.
 
Ngoja tumuombe Madame B nahisi atakua anajua jinsi ya kuanzisha group. Suala la kuingiza watu wengine hatulitaki kabisa, maana huko tutakua tunamwagika kwa raha zetu hatutaki mashaka.
Hawa wanafki huku watakomaje jamani?
Huku tutakua tunawachora tu mambo yote tunayamwaga huko.


hhhhhaaaa eti huku tutakua tunawachora Tu hhhaa hata warumi anaweza anzisha halaf admin wanakuwepo wawil linakua na masharti ni umbea full time, watakoma hao wanaosomaga Tu ehee
 
Last edited by a moderator:
Na tufungue group letu la umbeaaaaa....tumechoka unafki wa huku.
Halafu hao wa id's mpya kila siku ni marufuku.Maana kuna watu kila siku wanakuja na id mpya lakini anavyojielezea unajua tu mzoefu wa huku.


eeeeee werereeeeeeeeeeeee hebu toapo maelezoooo
 
Mzungu kafuga midevu uso umekuwa kama hifadhi ya taifa :teeth: chezea ujobless wewe?chezea stress za maisha? Washaachana wale,tangu January kipindi cha deep mawazuuuu, sasahivi wanalea tu,bwana anasoma anakaa mabwenini, huwa anapitia weekend na mara mojamoja kuona watoto. Mange bado anajigonga eti my husband hahahaaa huna hela utapata wapi my husband??? kauze nyumba za urithi uje uhonge huyo shoga ndio arudi 100% Bhoke kapakwa makeup amekuwa kituko halafu watu wanasifia balaaa hahahahaa Mange mtu wa ajabu alimsema Sintah eti mimba za majanini, yeye ya kwakwe ya chooni Rose Garden je? mbona haisemi?Halafu namshangaa sana huyo baba Bhoke utaachaje mwanao akalelewe na yule mwanamke? akili zake tu mwenyewe hazimtoshi, halafu anawasema vibaya watu weusi utadhani yeye na mwanae wa Rose Garden sio weusi. Wazungu bwana, yule mzungu alikuwa ashahamia kwa wazazi wake wakati ugomvi umekolea, ikabidi arudi LA aje asomee pale ili aweke anuani moja na Mange ili mikopo yao isije sambaratishwa na bank.So mikopo ya gari, nyumba, sijui credit card watapunguziwa tu kiwango cha kulipa kwa mwezi maana wote hawana kazi, but wangesema waachane kabisa kabisaaa iwe final,ingebidi mikopo ifutwe kila kitu warudishe kiasi kitakachowezekana kibaki kwa mzungu manake yeye ndio aliyekuwa anafanya kazi na ni raia.Heheheeehe sasahivi wanaishi kwa credit card kula kuvaa kila kitu ni credit card ndio maana Mange naye anakazana kuuza hadi green tea anatuma bongo :teeth: NA BADOOOOO MTAUZA HADI MAJI YA KUNYWA SAFARI HIII MTAKUWA MNAYATUMA BONGO FREE SHIPPING
 
Shosti Zenat si alipigwa fix kuwa nimeolewa na Bill Gates twende tutakusomesha and bla bla bla, heee kufika kule anaona siku zinaenda kageuzwa housegirl permanent.Kazi kupika, bibie kutwa mitaaani kuzogoa na mashosti wa Texas mara bongo anamuachia watoto, wakienda kwa wakwe nako anaachiwa jiko apike bidada anatoka out na mashosti, halafu anampiga picha dada wa watu kumtia kwenye blog kuonyesha anavyowatumikia jikonil, nyumbani etc hamna cha maana eti Xmas wakamnunulia cherehani then wakaanza kumpeleka kozi ya kushona :becky: mwenywe Mange plan yake eti Zenat akishajua kushona yeye atakuwa anadesign Zenat anashona.Duuuu Zenat mkimya ila mjanjaje sasa? naona akachoka kubanana kushea choo na mzungu.Unajua wazungu wanakunyaga halafu wanaflash hawatazami nyuma,ukoko wa mavi ukibaki anauacha tu, ushuzi anauacha hata hangojei dakika mbili aache hata mlango wazi au kadirisha ushuzi upoteee.Duuuu dada wa watu akaona cha kufia ni nini?niko USA full mastress aliyenileta mwenyewe hela hana yuko busy anauza mpaka wanja na lipstick :becky: basi akawasiliana na nduguze bongo, wakatunga story kuwa Zenat anahitajika nyumbani kuna mambo ya kifamilia.Basi akaondoka akasema atarudi,kufika bongo akawatumia ujumbe asanteni sana kwa yote siwezi kurudi huko, cherehani kawaachia na nguo walizokuwa wanamuhonga na kaptura za summer zote kawaaachia :becky: sikuhizi Mange akienda bongo wala hawawasiliana, hawaongei hawajuani tena.Zenat alikuwaga anajifanya ----- aenda kaanika ushenzi wote wa Mange na ukweli wa maisha yake, Mange ana mahasira naye nashangaa kwenye hii list hajamuweka.Sasa hiko cherehani si angempa huyo ex wake mzazi mwenzie awe anashona japo weekend, si hana kazi? kama kupinda hiyo nguo ya Bhoke ya graduation si angefanya yeye wakamlipa?? Mange si mtoto wa tajiri HAHAHAHAHAAA kujifanya mjanja kumbe kuna wajanja zaidi yake.Zenat alimtia kidole cha machoni akasepaaaaaa
Du makubwa haya
 
warumi ww upo sayari gani... Huna haja ya kutengeneza namba ingine.. Pakua application inaitwa KIK Haihitaji namba ni ID name tu then tunapiga zetu umbea

Usiniambie?, sasa ivi nadownload, yani binamu yako niambie umbea tu hayo mambo ya tekenolojia yashanipitia kushoto mwenzio
 
Last edited by a moderator:
itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee

Nasikia unagawa sana mapesa, mi naomba kukutanishwa na wewe.
 
DOMOKUBWA ungefungua uzi ingependeza yaani km siriz flan hv maana ni hatari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom