Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mzungu kafuga midevu uso umekuwa kama hifadhi ya taifa :teeth: chezea ujobless wewe?chezea stress za maisha? Washaachana wale,tangu January kipindi cha deep mawazuuuu, sasahivi wanalea tu,bwana anasoma anakaa mabwenini, huwa anapitia weekend na mara mojamoja kuona watoto. Mange bado anajigonga eti my husband hahahaaa huna hela utapata wapi my husband??? kauze nyumba za urithi uje uhonge huyo shoga ndio arudi 100% Bhoke kapakwa makeup amekuwa kituko halafu watu wanasifia balaaa hahahahaa Mange mtu wa ajabu alimsema Sintah eti mimba za majanini, yeye ya kwakwe ya chooni Rose Garden je? mbona haisemi?Halafu namshangaa sana huyo baba Bhoke utaachaje mwanao akalelewe na yule mwanamke? akili zake tu mwenyewe hazimtoshi, halafu anawasema vibaya watu weusi utadhani yeye na mwanae wa Rose Garden sio weusi. Wazungu bwana, yule mzungu alikuwa ashahamia kwa wazazi wake wakati ugomvi umekolea, ikabidi arudi LA aje asomee pale ili aweke anuani moja na Mange ili mikopo yao isije sambaratishwa na bank.So mikopo ya gari, nyumba, sijui credit card watapunguziwa tu kiwango cha kulipa kwa mwezi maana wote hawana kazi, but wangesema waachane kabisa kabisaaa iwe final,ingebidi mikopo ifutwe kila kitu warudishe kiasi kitakachowezekana kibaki kwa mzungu manake yeye ndio aliyekuwa anafanya kazi na ni raia.Heheheeehe sasahivi wanaishi kwa credit card kula kuvaa kila kitu ni credit card ndio maana Mange naye anakazana kuuza hadi green tea anatuma bongo :teeth: NA BADOOOOO MTAUZA HADI MAJI YA KUNYWA SAFARI HIII MTAKUWA MNAYATUMA BONGO FREE SHIPPING
hhhhhhhhaaaaaaa jamaniii hadi majii warumi njoo ucheke
Last edited by a moderator: