Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

We huoni andika yake? HUyo mbea mwenzetu bhana

Binamu wewe ndio utatuletea balaa maana wewe kila mbea unataka ajiunge na sisi.
Wengine wapelelezi....ohooo! Ngoja tukatwe vidole, tena uanzwe wewe ndio utakoma.
Wambea wengine wapya mwisho huku tu, wale tunaojuana ndio tutakaoungana kwenye group tu.
 
Hilo nalo neno aiseh, aliyekwambia wambea siku izi wanawake peke yao nani?, mie warumi nawakilisha wanaume wote wambea, mie ndo balozi wao, so please jina hlo wabadilishe kwa kweli, heshima muhimu, chinekeeeee

Hahahahahaa, tena na wewe ndio kiongozi wa wambea wote.
Lazima tukupe heshma yako kwakweli.
 
Tutengenezeni chama chet cha wambea jaman , tuwe tunasaidiana wakati wa shida na raha,

Mhhhh! Binamu huko unaenda mbali sasa, ila tungoje na tuombee mema tu yote yanawezekana.
Halafu nimegundua kitu, unaonekana una roho nzuri sana warumi.
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno aiseh, aliyekwambia wambea siku izi wanawake peke yao nani?, mie warumi nawakilisha wanaume wote wambea, mie ndo balozi wao, so please jina hlo wabadilishe kwa kweli, heshima muhimu, chinekeeeee

Poleni kwa usumbufu, kubadili nimeshindwa ila nimemuomba bosi Invisible atubadilishie, hakuna tabu ikishindikana ni kufungua lenye jina ulilo suggest Nifah.

Nitawajulisha au mtaona.
 
Poleni kwa usumbufu, kubadili nimeshindwa ila nimemuomba bosi Invisible atubadilishie, hakuna tabu ikishindikana ni kufungua lenye jina ulilo suggest Nifah.

Nitawajulisha au mtaona.

Mods ni wasikivu, natumai watalifanyia kazi hilo maana hata sisi wambea tuna haki zetu JF hii.
cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Na mie jamani

Wewe nakuonaga lakini.....inabidi tujiridhishe kwanza kama na wewe ni mbea au lah.
Kwakweli itabidi niingie kazini kama detective nichunguze wambea wote wanaotaka kujiunga, nikijiridhisha basi ruksa kujiunga.

Note:Hatutaki watu wa kusoma umbea tu, tunataka watu wa kushirikiana nao katika umbea.
 
Habarini za kazi dada zangu vipenzi, naushauri kidogo naombeni mniazime masikioni yenu kidogo.

Nadhani mtakuwa rika tofuati tofauti kuna wengine mabinti mie na deal na mabinti wakongwe niwaache.

Hivi mnafanya kazi kweli na mnapika majumbani kwenu au kufanya shughuli za nyumbani maana 24/7 mpo JF na maneno maneno mnasoma kweli na kazi za chuo mnazìfanya muda gani.

badirikeni mkikosa waume mnalalamika.

Ni ushauri tu msinitukane.
 
Wewe nae hebu tutokee hapa.Huo ushauri wako kawape binti/mke au dada zako.
Sisi tunakuhusu nini? Halafu hao wanaume wala hatuna shida nao.

Labda nijiongelee mimi mwenyewe.Sina shida ya mwanaume maana ninae ninaempenda nae vilevile.
Halafu usichukulie haya mambo serious sana ndugu, umejua vipi niko humu 24/7 hours kama nawe hushindi humu?

Nadhani nimekujibu vyema maana sijakutukana.
 
Members wa group mtashikiri kwa juu sana kuamua nani anaongezwa.

Tena tukishaanza kushiriki kila siku uwe unaweka majina ya maombi tuchague.
Kuna malaya mmoja sitamani awepo basi tu.Ila kama ni kura nitapiga ya hapana kwake bila shaka.
 
Mhhhh! Binamu huko unaenda mbali sasa, ila tungoje na tuombee mema tu yote yanawezekana.
Halafu nimegundua kitu, unaonekana una roho nzuri sana warumi.

Sana, pia nina huruma then sijuagi kuweka mabifu na watu, nina hasira za papo hapo then dakika mbil nasahau, mimi ni mtu poa sana yani
 
Last edited by a moderator:
Habarini za kazi dada zangu vipenzi, naushauri kidogo naombeni mniazime masikioni yenu kidogo.

Nadhani mtakuwa rika tofuati tofauti kuna wengine mabinti mie na deal na mabinti wakongwe niwaache.

Hivi mnafanya kazi kweli na mnapika majumbani kwenu au kufanya shughuli za nyumbani maana 24/7 mpo JF na maneno maneno mnasoma kweli na kazi za chuo mnazìfanya muda gani.

badirikeni mkikosa waume mnalalamika.

Ni ushauri tu msinitukane.

We unajuaje watu wanashinda muda wote?
 
Wewe mbea mwenzetu lazima uwepo kwakweli, una ubuyu mtamu sana.

Nina ubuyu wa watu watatu apa, yan kitu exclusive, warekebishe haraka niyamwage mie nisije kusahaua buree, maana ni shidaa, halaf sijatoa exclusive kitambo kweli humu
 
Sana, pia nina huruma then sijuagi kuweka mabifu na watu, nina hasira za papo hapo then dakika mbil nasahau, mimi ni mtu poa sana yani

Khaaaa! Binamu tunarelate aisee.Though mimi mtu akinikera haswa na akiwa ananichukia bila sababu na mimi hua nampotezea tu.
Ila mtu akiwa poa mimi pia nakua poa zaidi yake.
 
Back
Top Bottom