Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nakuonaga lakini.....inabidi tujiridhishe kwanza kama na wewe ni mbea au lah.
Kwakweli itabidi niingie kazini kama detective nichunguze wambea wote wanaotaka kujiunga, nikijiridhisha basi ruksa kujiunga.
Note:Hatutaki watu wa kusoma umbea tu, tunataka watu wa kushirikiana nao katika umbea.
Nina ubuyu wa watu watatu apa, yan kitu exclusive, warekebishe haraka niyamwage mie nisije kusahaua buree, maana ni shidaa, halaf sijatoa exclusive kitambo kweli humu
Wasitunyanyapae jaman, sisi ni binadamu kama wengine, umbea sio ukilema, wote tuna haki sawa jaman
Mwenzangu umemuona alivyodelete posts zake hapo juu? Sijui aliandika nini.
Bila shaka ni vichambo vyangu hivyo...lol
Wewe nae hebu tutokee hapa.Huo ushauri wako kawape binti/mke au dada zako.
Sisi tunakuhusu nini? Halafu hao wanaume wala hatuna shida nao.
Labda nijiongelee mimi mwenyewe.Sina shida ya mwanaume maana ninae ninaempenda nae vilevile.
Halafu usichukulie haya mambo serious sana ndugu, umejua vipi niko humu 24/7 hours kama nawe hushindi humu?
Nadhani nimekujibu vyema maana sijakutukana.
nimeona na nimeyakosa labda anaandika gazeti arudi.

Ndo yale yale niliyokuwa namwambia mzurimie na Diva Beyonce, yeye kajuaje kama humu tunashinda 24/7 kama hatushindagi wote? Jamani huyu ananivunja mbavu ujue apa
Hahahahahaaa! Wewe furahia tu mwenzio labda nitakua ninaandikiwa gazeti la kichambo hivyooo....
Wewe haya...
We unajuaje watu wanashinda muda wote?
Binamu mi nitamnyea huyu leo nipewe ban ujue? Anatuingiliaje kwenye anga zetu kwanza? Nime mmind ujue?
Mwenzangu umemuona alivyodelete posts zake hapo juu? Sijui aliandika nini.
Bila shaka ni vichambo vyangu hivyo...lol
Habarini za kazi dada zangu vipenzi, naushauri kidogo naombeni mniazime masikioni yenu kidogo.
Nadhani mtakuwa rika tofuati tofauti kuna wengine mabinti mie na deal na mabinti wakongwe niwaache.
Hivi mnafanya kazi kweli na mnapika majumbani kwenu au kufanya shughuli za nyumbani maana 24/7 mpo JF na maneno maneno mnasoma kweli na kazi za chuo mnazfanya muda gani.
badirikeni mkikosa waume mnalalamika.
Ni ushauri tu msinitukane.
Kirahisi hvo ujue huyo mpenda ubuyu ila hataki kuonekana na I'd yake iliyozoeleka.
Hahahahahahaaa binamu nimecheka hadi mdogo wangu kanishangaa!
Una vituko sana!
nimeona na nimeyakosa labda anaandika gazeti arudi.
Kweli binamu, wengine wanaweza kutuona sie hamnazo kumbe wenzao tunafaidi na tuna enjoy, so wasitushangae wala kututenga, wambea ni binadamu kama wengine, kwanza inabid na sisi tukadai haki yetu, tunataka tutambuliwe na katika ya nchi kabisa na tupewe haki zetu za kulindwa, maana umbea sio mchezo, mie apa nshaaribu ndoa za watu kama kumi ivi kwa ajil ya umbea