itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee
warumi ww upo sayari gani... Huna haja ya kutengeneza namba ingine.. Pakua application inaitwa KIK Haihitaji namba ni ID name tu then tunapiga zetu umbeaAhahahh kweli kabisa yani, watu wengi wananifuata PM kuomba namba yangu tuwe tunachat, sema usalama naogopa kutoa, ila nina mpango wa kutengeneza line nyingine next week nadhan, humo nitatoa namba yangu kwa wote tuwe tunachat, maana ata mimi najisikia vbya sana yani ,nataman ile bond ya nguvu, maana wambea mkikutana mnabadilishana mawazo no stress, ha hah hahah
umeona eeeeee hii habari tamu tunakosa umbea wa ukweliiii banaa humu twashindwa kujiachiaaa
Ngoja tumuombe Madame B nahisi atakua anajua jinsi ya kuanzisha group. Suala la kuingiza watu wengine hatulitaki kabisa, maana huko tutakua tunamwagika kwa raha zetu hatutaki mashaka.
Hawa wanafki huku watakomaje jamani?
Huku tutakua tunawachora tu mambo yote tunayamwaga huko.
Na tufungue group letu la umbeaaaaa....tumechoka unafki wa huku.
Halafu hao wa id's mpya kila siku ni marufuku.Maana kuna watu kila siku wanakuja na id mpya lakini anavyojielezea unajua tu mzoefu wa huku.
Du makubwa hayaShosti Zenat si alipigwa fix kuwa nimeolewa na Bill Gates twende tutakusomesha and bla bla bla, heee kufika kule anaona siku zinaenda kageuzwa housegirl permanent.Kazi kupika, bibie kutwa mitaaani kuzogoa na mashosti wa Texas mara bongo anamuachia watoto, wakienda kwa wakwe nako anaachiwa jiko apike bidada anatoka out na mashosti, halafu anampiga picha dada wa watu kumtia kwenye blog kuonyesha anavyowatumikia jikonil, nyumbani etc hamna cha maana eti Xmas wakamnunulia cherehani then wakaanza kumpeleka kozi ya kushona :becky: mwenywe Mange plan yake eti Zenat akishajua kushona yeye atakuwa anadesign Zenat anashona.Duuuu Zenat mkimya ila mjanjaje sasa? naona akachoka kubanana kushea choo na mzungu.Unajua wazungu wanakunyaga halafu wanaflash hawatazami nyuma,ukoko wa mavi ukibaki anauacha tu, ushuzi anauacha hata hangojei dakika mbili aache hata mlango wazi au kadirisha ushuzi upoteee.Duuuu dada wa watu akaona cha kufia ni nini?niko USA full mastress aliyenileta mwenyewe hela hana yuko busy anauza mpaka wanja na lipstick :becky: basi akawasiliana na nduguze bongo, wakatunga story kuwa Zenat anahitajika nyumbani kuna mambo ya kifamilia.Basi akaondoka akasema atarudi,kufika bongo akawatumia ujumbe asanteni sana kwa yote siwezi kurudi huko, cherehani kawaachia na nguo walizokuwa wanamuhonga na kaptura za summer zote kawaaachia :becky: sikuhizi Mange akienda bongo wala hawawasiliana, hawaongei hawajuani tena.Zenat alikuwaga anajifanya ----- aenda kaanika ushenzi wote wa Mange na ukweli wa maisha yake, Mange ana mahasira naye nashangaa kwenye hii list hajamuweka.Sasa hiko cherehani si angempa huyo ex wake mzazi mwenzie awe anashona japo weekend, si hana kazi? kama kupinda hiyo nguo ya Bhoke ya graduation si angefanya yeye wakamlipa?? Mange si mtoto wa tajiri HAHAHAHAHAAA kujifanya mjanja kumbe kuna wajanja zaidi yake.Zenat alimtia kidole cha machoni akasepaaaaaa
warumi ww upo sayari gani... Huna haja ya kutengeneza namba ingine.. Pakua application inaitwa KIK Haihitaji namba ni ID name tu then tunapiga zetu umbea
umeona eeeeee hii habari tamu tunakosa umbea wa ukweliiii banaa humu twashindwa kujiachiaaa
Kuwe na siku ya wambea duniani lol
Usiniambie?, sasa ivi nadownload, yani binamu yako niambie umbea tu hayo mambo ya tekenolojia yashanipitia kushoto mwenzio
Hivi da Zenat ilikuwaje?
Heeee! Shoga hebu ngoja nikajaribu sasa hivi.
itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee
DOMOKUBWA ungefungua uzi ingependeza yaani km siriz flan hv maana ni hatari
Ha ha ha!
Umenishinda kwa umbeya...nasubiria ila