Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Yani nimejaribu kuingia kwa kawaida bila application sijaizoea sijui pakuanzia sijazoea. Yani hadi kuingia jf stimu zinakata.

Mods wameedit jina lakini wameshau kitu cha umuhimu sana, NOTIFICATIONS!
Hili litatuondolea raha ya group letu kabisa, hata mimi nimezoea App hii nyingine siipendi.
Invisible (Tumevumilia vya kutosha jamani.Mwezi unakaribia kuisha sasa bila notifications! )
 
Last edited by a moderator:

mbona mi napata nikienda Kule unapojiunga au hazifiki kwa muda muafaka
 
Last edited by a moderator:
nimewaona nimeanza kuchekaa aiseee naanza kuona I'd mpya zinaomba kuunganishwa

Hahahahahaa, hatutaki id's mpya.Na wao wajiunge waanzishe lao au wakomae huku halafu tutawaangalia kama wanafaa.
Jamani hili jambo sio mchezo, hasa tukiwa tunaelekea kwenye ile sheria inabidi tupate uhuru.
Huku jukwaani hatujiamini hadi tunaanza kuongea mafumbo mtu unachekecha kichwa kama uko kwenye chumba cha mtihani.....
Ndio maana hizi id tusizozijua tuachane nazo kabisa, wengine usalama wa taifa, ohoooo!
 
Hatumtakiiiiii! Ni mnafki anapenda ugomvi, ni hodari wa vinyongo.
Atatuharibia group letu.

sasa utazuiaje asiingieee watatupa taarifa Kwanzaa kila anaeingiaaa
 
Hahahahahaa, hatutaki id's mpya.Na wao wajiunge waanzishe lao au wakomae huku halafu tutawaangalia kama wanafaa.
Jamani hili jambo sio mchezo, hasa tukiwa tunaelekea kwenye ile sheria inabidi tupate uhuru.
Huku jukwaani hatujiamini hadi tunaanza kuongea mafumbo mtu unachekecha kichwa kama uko kwenye chumba cha mtihani.....
Ndio maana hizi id tusizozijua tuachane nazo kabisa, wengine usalama wa taifa, ohoooo!

kwa kweli waunganishe la kwao Tu ,mpaka watakapokidhi viwango etiiiii,Kule ni kujimwaga tuuuuu
 
Nakuambia nilivyokuaona nilichekaje? Sikuwezi kwa umbea aisee, naona uko radhi hata kutoa pesa ili tu upate umbea..lol

hhhhhhaaa namie nimewaona nikacheka balaaaaa loooo hamchelewiiiii
 
Mods wameedit jina lakini wameshau kitu cha umuhimu sana, NOTIFICATIONS!
Hili litatuondolea raha ya group letu kabisa, hata mimi nimezoea App hii nyingine siipendi.
Invisible (Tumevumilia vya kutosha jamani.Mwezi unakaribia kuisha sasa bila notifications! )

Yani hivi kwanini hawashughulikii hili tatizo la notifications bila notifications jf inabore mno. Sasa hyo sijui website ina complications na usumbufu juu. Invisible tuondoleeni kero ya notifications.
 
Last edited by a moderator:
mbona mi napata nikienda Kule unapojiunga au hazifiki kwa muda muafaka

Mimi sitaki hizi za juu juu bwana ni kero.Nataka nizikute humu kama zamani.
Sio mtu unaona notification ukiingia huku huioni.
 
halaf kuingia Hilo group mpaka uunganishwe na carrier eti bila ya hivyo huoni kitu etio

Mwenzangu hata mimi naona ndio hivyohivyo.
Bila shaka yeye ndio admin.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sitaki hizi za juu juu bwana ni kero.Nataka nizikute humu kama zamani.
Sio mtu unaona notification ukiingia huku huioni.

ooooh za humu mi pia Hua napata piaa
 
Yani hivi kwanini hawashughulikii hili tatizo la notifications bila notifications jf inabore mno. Sasa hyo sijui website ina complications na usumbufu juu. Invisible tuondoleeni kero ya notifications.

Watuondolee hili tatizo limekua sugu sasa.
Sijui tumuambie binamu warumi aanzishe uzi tukafanye mabalaa kudai haki yetu ya notifications?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom