Yani nimejaribu kuingia kwa kawaida bila application sijaizoea sijui pakuanzia sijazoea. Yani hadi kuingia jf stimu zinakata.
Hahahahahaa, wasomaji wa umbea mtakoma mwaka huu.
Mtaliaje? Naona mmeshaanza....
Mods wameedit jina lakini wameshau kitu cha umuhimu sana, NOTIFICATIONS!
Hili litatuondolea raha ya group letu kabisa, hata mimi nimezoea App hii nyingine siipendi.
Invisible (Tumevumilia vya kutosha jamani.Mwezi unakaribia kuisha sasa bila notifications! )
nani huyooooo ,sasa kama ni mbeya mwenzetu itabidi ajiunge Tu jamaniii
hhhhhhhaaaaaaaahhhhhhaaaaaaahh
hhaaaaaahhhhhhaaaaaaaa
nimewaona nimeanza kuchekaa aiseee naanza kuona I'd mpya zinaomba kuunganishwa
Hatumtakiiiiii! Ni mnafki anapenda ugomvi, ni hodari wa vinyongo.
Atatuharibia group letu.
nimo nichelewe tenaaaa
Hahahahahaa, hatutaki id's mpya.Na wao wajiunge waanzishe lao au wakomae huku halafu tutawaangalia kama wanafaa.
Jamani hili jambo sio mchezo, hasa tukiwa tunaelekea kwenye ile sheria inabidi tupate uhuru.
Huku jukwaani hatujiamini hadi tunaanza kuongea mafumbo mtu unachekecha kichwa kama uko kwenye chumba cha mtihani.....
Ndio maana hizi id tusizozijua tuachane nazo kabisa, wengine usalama wa taifa, ohoooo!
Nakuambia nilivyokuaona nilichekaje? Sikuwezi kwa umbea aisee, naona uko radhi hata kutoa pesa ili tu upate umbea..lol
Mods wameedit jina lakini wameshau kitu cha umuhimu sana, NOTIFICATIONS!
Hili litatuondolea raha ya group letu kabisa, hata mimi nimezoea App hii nyingine siipendi.
Invisible (Tumevumilia vya kutosha jamani.Mwezi unakaribia kuisha sasa bila notifications! )
mbona mi napata nikienda Kule unapojiunga au hazifiki kwa muda muafaka
Mwe
Mbona sijaona duu
Mimi sitaki hizi za juu juu bwana ni kero.Nataka nizikute humu kama zamani.
Sio mtu unaona notification ukiingia huku huioni.
Yani hivi kwanini hawashughulikii hili tatizo la notifications bila notifications jf inabore mno. Sasa hyo sijui website ina complications na usumbufu juu. Invisible tuondoleeni kero ya notifications.
sasa utazuiaje asiingieee watatupa taarifa Kwanzaa kila anaeingiaaa
Itabidi atupe taarifa.Haiwezekani wakubaliwe watu tusiowajua.
ooooh za humu mi pia Hua napata piaa